Kulupura
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,175
- 1,288
Aaah wapi mm mngoni wasongea Japo kuwa songea siijui ipojeWe jamaa utakuwa mchaga..sio bure
You may not start conversation with the following recipient;Tairus
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi mm mngoni wasongea Japo kuwa songea siijui ipojeWe jamaa utakuwa mchaga..sio bure
You may not start conversation with the following recipient;Tairus
Dada kigoma taratibu pm yko itajaa na wapenda mteremkoSio wote bwana tunapenda pesa wengine tunapenda mapenzi[emoji23]woiiii tupendwe na tupende hela tunatafuta wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada kigoma taratibu pm yko itajaa na wapenda mteremko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiii nipo dabo tayari dada wa ujiji sijui kibondo[emoji23][emoji23]
Na babe nahisi wamfahamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Nime kuelewa mzee wa kayaYanawezekana lakini kwa shida na changamoto nyingi... Ukitaka kuyafurahia tafuta chapaa.
si kweli mkuu endelea na hiyo research yako kuna wanawake wanajiweza kiuchumi wanatafuta mapenzi tuNikweli sikuhizi ukiwa haunakitu mapenzi utaya sikia kwenye bomba? Na mwanamke ukimnyima pessa Nikama umempa talaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
shida wanaume wa jf wengi wao wanahangaika na kuku wa kienyeji lazima mpigwe za mbavu. ebu mjichanganye na wanawake wanaojielewa kidogo khaaaSio wote bwana tunapenda pesa wengine tunapenda mapenzi[emoji23]woiiii tupendwe na tupende hela tunatafuta wenyewe.
Ngoja niendelee nautafiti mkuusi kweli mkuu endelea na hiyo research yako kuna wanawake wanajiweza kiuchumi wanatafuta mapenzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa nime cheka kifala kweliDawa ni kutafuta wale disparate! Hua hawakosekanagi! Mtaji ni pumzi
Sawa tutaufanyia kazi ushauli nasaashida wanaume wa jf wengi wao wanahangaika na kuku wa kienyeji lazima mpigwe za mbavu. ebu mjichanganye na wanawake wanaojielewa kidogo khaaa
Sent using Jamii Forums mobile app