HapanaWakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Pagumu hilo eneo ikifika kuanzia saa moja jioni shida inaanzaWakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Duuuu.....sawa sawaWakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Changamoto, ni asubuhi saa ngapi Usafiri?Pagumu hilo eneo ikifika kuanzia saa moja jioni shida inaanza
Asbh kuanzia 12 unapata mapema,Duuu
Changamoto, ni asubuhi saa ngapi Usafiri?
Za Dsm Musoma kuna Abood, Caprcon na zingine wadau watajaziaAsbh kuanzia 12 unapata mapema,
Kuna Abood alikuwa na route ya Dsm Musoma, ulizia inapita saa ngapi vizia hiyo
Sawa AhsanteZa Dsm Musoma kuna Abood, Caprcon na zingine wadau watajazia
Duuh,sasa huko Musoma usiku tena ,mapanga na sime nje njeWakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Naipata saa tanoPanda AM ya Mugumu
Nadhan huwa wanapita maswa, bariad kutokea lamadiZa Dsm Musoma kuna Abood, Caprcon na zingine wadau watajazia
Sa 11 unapata champion asubhNaipata saa tano
Kwani anatok darNadhan huwa wanapita maswa, bariad kutokea lamadi
Labda Malori.Wakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Mkuu hautapata msaada hapa,ila naamini kama unataka utafika.Nenda Nyamhongolo ulizia au vizia private Car au lori,sio lazima ikufikishe Musoma muhimu ikusogeze tu. Ukifika huko mbele nadhan maeneo ya bariadi kuna Bus zinazotoka Dar kwenda Musoma usiku zipo utapata mpaka Musoma. Nilisikia pia kuna Bus zinazotoka Dar kwenda Musoma zinapita Mwanza,sina hakika kama zipo,ila muhimu tuendelee na huu mjadala ukiwa njiani.Wakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Hazipo! Labda bajaji!Wakuu naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku
Unaelewa unachoandika Dogo? Yaani atoke Mwanza aende Bariadi ili awahi kufika Musoma?🙄🙄🙄🙄!? Serious!!???Mkuu hautapata msaada hapa,ila naamini kama unataka utafika.Nenda Nyamhongolo ulizia au vizia private Car au lori,sio lazima ikufikishe Musoma muhimu ikusogeze tu. Ukifika huko mbele nadhan maeneo ya bariadi kuna Bus zinazotoka Dar kwenda Musoma usiku zipo utapata mpaka Musoma. Nilisikia pia kuna Bus zinazotoka Dar kwenda Musoma zinapita Mwanza,sina hakika kama zipo,ila muhimu tuendelee na huu mjadala ukiwa njiani.
Hazipo labda bodaboda my friendHazipo! Labda bajaji!