GERRY12
Member
- Mar 6, 2023
- 62
- 62
Samahani wana JamiiForums, ninaomba kuuliza. Mimi nilisoma form six halafu nikasoma na diploma, sasa kwenye kuomba mkopo nineandika form six badala ya diploma na nilipojaribu kureverse baadae inagoma
Sasa juzi naingia kwenye account yangu nakuta wamenambia congrats wait for allocation process sasa nakuwa na wasiwasi huenda nitakosa mkopo kupitia hilo lakini chuo nimepata toka first round.
Naomba mnisaidie.