Tafadhali nahitaji msaada kwenye kuomba mkopo HESLB

memento mori

Member
Jan 23, 2021
22
18
IMG_0145.jpg

Habari zenu,

Naomba mnisaidie kwenye hatua hii kwenye kuomba mkopo HESLB.

Kwenye kipengele cha kuattatch signed pages 2 na 5.

Je, ni pages gan zinazohtajika?

Msaada tafadhali.
 
View attachment 2766752
Habari zenu,

Naomba mnisaidie kwenye hatua hii kwenye kuomba mkopo HESLB...
Nenda kwenye kipengele cha preview your details,download hiyo complete form kisha saini vipengele vinavyokuhusu pamoja na mdhamini wako na yeye asaini.

Baada ya hapo peleka kwa mwenyekiti wako wa mtaa au kijiji naye akusainie kukuwekea muhuli na mwisho peleka kwa akimu au mwanashelia wakusainie na kukuwekea muhuli.Mwisho kabisa uta scan hizo page no2 & no5 na kuzihataji katika hivyo vipengele.

Next time,soma mwongozo vizuri na uelewe...!
 
shukrani kwa msaada wako
 
Back
Top Bottom