Naweza kuongeza uwezo wa kufikiri?

Ubongo unaweza kuuongezea uwezo wa kufikiri kwa namna nyingi.
Kushiriki na kuanzisha mijadala mbalimbali na kutetea hoja zako inaweza kukusaidia.
Ukiwa mwenyewe unaweza kupima yale uliyofikiri kuwa ya kweli kuona kama yanaonekanaje ukiyageuza.(sceptism/kushuku)
 
Mkuu,

Ningependa kuchangia lakini nikiri kuwa mchango wangu unaweza kuwa too general kutokana na kutojua umri wa anayeuliza swali na kufikiri anakokuongelea, ukiniwekea rank ya miaka yako (say 20-35) ushauri nitakaoutoa utatofautiana na ule wa 36-50 na pia utatofautiana na wa 51-75 and even above.

Hivyo, kabla sijaenda mbali, waweza kunifungua macho namshauri mtu wa wastani gani wa umri? Kuna article niliwahi kuiweka hapa JF, kama ni kijana mdogo (below 20yrs) basi hii inaweza kukusaidia.
 
kuna uwezekano wa binadamu kuongeza uwezo wake wa kufikiri,pls help

Tembelea hii website ya bbc BBC - Science & Nature - Human Body and Mind - Memory Tester

fanya hiyo survey na kujibu maswali na mwishoni wanakupa ushauri nini cha kufanya kuongeza au kuimarisha uwezo wako wa kufikiri, kumbukumbu na matukio.

Hapo ndo unaona tofauti ya wao na sie. Huo ni mfano mmoja lakini nadhani zipo njia na mbinu nyingi.

Nimewai kutaka kuiweka hii post hapa ikakataliwa na waendesha jamvi
 
Mkuu,

Ningependa kuchangia lakini nikiri kuwa mchango wangu unaweza kuwa too general kutokana na kutojua umri wa anayeuliza swali na kufikiri anakokuongelea, ukiniwekea rank ya miaka yako (say 20-35) ushauri nitakaoutoa utatofautiana na ule wa 36-50 na pia utatofautiana na wa 51-75 and even above.

Hivyo, kabla sijaenda mbali, waweza kunifungua macho namshauri mtu wa wastani gani wa umri? Kuna article niliwahi kuiweka hapa JF, kama ni kijana mdogo (below 20yrs) basi hii inaweza kukusaidia.

Mkuu Invisible kama hutajali wakati mtoa mada akiwa anajiandaa kukupa rank ya umri wake, naomba utoe ushauri kwetu tulio kwenye rank ya 20-35.. Pia naomba utupatie link uliyosema ya kijana wa below 20 labda itawasaidia pia wadogo zangu wa umri huo.

Shukrani
 
Tembelea hii website ya bbc BBC - Science & Nature - Human Body and Mind - Memory Tester

Nimewai kutaka kuiweka hii post hapa ikakataliwa na waendesha jamvi
Mhhhh... Mkuu kama hii iliachwa: https://www.jamiiforums.com/busines...3-haki-miliki-ya-bidhaa-ya-condom-kwa-jf.html

Ije kuwa kitu kama hicho kiondolewe? Labda flash kama iligoma kucheza tu.

Mkuu Invisible kama hutajali wakati mtoa mada akiwa anajiandaa kukupa rank ya umri wake, naomba utoe ushauri kwetu tulio kwenye rank ya 20-35.. Pia naomba utupatie link uliyosema ya kijana wa below 20 labda itawasaidia pia wadogo zangu wa umri huo.

Shukrani
Nimekusoma mkuu, naandaa kwa 20-45 hapa... Ntaweka soon. Hiyo article nayo ntaweka link mwishoni
 
Kufikiri, kuwaza, thinking! Hivi haya maneno yanamaana sawa?
Uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi.
Uwezo wa kuwaza tuuu kama vile ndoto za mchana.
I'm just thinking!!
 
mhhhh... Mkuu kama hii iliachwa: https://www.jamiiforums.com/busines...3-haki-miliki-ya-bidhaa-ya-condom-kwa-jf.html

ije kuwa kitu kama hicho kiondolewe? Labda flash kama iligoma kucheza tu.

Nimekusoma mkuu, naandaa kwa 20-45 hapa... Ntaweka soon. Hiyo article nayo ntaweka link mwishoni

invisible mimi ni 37 na ni mwanamke,uwezo wangu wa kuwaza unaweza kuwa sawa na wa mwanaume mwenye age yangu?halafu kwa nini wazungu uwezo wao uko juu sana,naongea hili kwa sababu nimefanya nao kazi na nimeona mwenyewe jinsi walivyo na uwezo mkubwa!!!!
 
Mtu mwenye uwezo lau average wa kufikiria hawezi kutamka kuwa WAZUNGU WANA UWEZO ZAIDI WA KUFIKIRI! Au wewe unaona imekaaje hiyo?
Very true sijui anazungumzia wazungu gani hao?Au expatriates? hivi wewe unajua kuna wazungu bogus wa kupitiliza? Zaidi ya wapiga debe? Nadhani pia anatatizo la kujiamini mbele ya hao wazungu. Inabidi ajitahidi kubadili mentality.
 
Mtu mwenye uwezo lau average wa kufikiria hawezi kutamka kuwa WAZUNGU WANA UWEZO ZAIDI WA KUFIKIRI! Au wewe unaona imekaaje hiyo?

Tatizo lako amoeba ni inferiority (watu huita inferiority complex). Kwa wastani wazungu wana uwezo mkubwa zaidi wa kufikiri kuliko waafrika. Tatizo lako nini hapa? Number of brain cells? Synaptic junctions? Nervous transmission speed? Tatizo la waafrika wako tayari kukubali kuwa tunatofautiana na wazungu kwa melanin, hair etc lakini brain ni lazima zilingane, wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom