kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,333
- 6,454
-Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo.
What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana alikua 22 years old.
Imeniuma sana. Hayq kuleni shibeni kwa damu za watu