Nawashukuruni Wana JmiiForum wote-KakaKiiza

Pole kaka yetu! Binadam siku zake za kuishi hapa duniani ni chache sana! Tunamuomba Mungu amrehem na aendelee kukupa nguvu.
 
pole sana kiongozi,tuko pamoja tutaendelea kuwa pamoja,niko njiani nakuja dar nitapenda kukuona KakaKiiza,namba yako ninayo hope yangu ulisevu,nitakutafuta
Kaka ninyingi zilikuja na ambazo mungu alinipa uwezo wakuzikumbuka nilizi save kama yakwako niliwezeshwa basi nitakuwa nime i save!!
 
Kaka KakaKiiza karibu tena na pole sana mkuu. Uwe na moyo wa subira na uvumilivu. Mungu awe nawe kaka. karibu mwanza.
 
Pole sana KakaKiiza! Mungu alitoa, Mungu ametwaa! Jina lake lihimidiwe...Mwanga wa milele amwangazie na apumzike kwa amani!Amina....life has to continue KakaKiiza so stay strong for your kids, blessings!
 
I cant wear your shoes oh my good god.pole KakaKiiza karibu tena .uwe na moyo wa subira mungu atatenda mengi
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza pole sana Kiongozi.....you will go through this with time. Thanks kwa wana JF wote waliotuwakilisha msibani! Thats the JF spirit!
 
Last edited by a moderator:
sina chakuwalipa kwa wema mkubwa waliouonyesha kwangu!!Ninawaomba wapokee hii shukurani yangu ya dhati kutoka kwangu
@Kakakiiza, hiyo shukurani yako ni malipo makubwa sana. Mungu aendelee kukulinda ndugu yetu na kukupa nguvu katika kuipindi hiki kigumu
 
Pole tena na tena, Mungu akutie nguvu na kukuongoza uwalee wanao. Pole sanaaa
 
Asante ndugu zangu kwa wema wenu!Najua ninamengi yakuandika lakini hapa hayataenea!!
 
Pole sana KakaKiiza,
Mungu atampumzisha kwa Amani yake Mkeo Kipenzi/Wifi yetu Subira Alfred Mwamasso.
Najua hutaweza kutukumbuka wote tuliokuja msibani kutokana na wingi wetu,
Ila Tunashukuru kwa Ukarimu wako kwa Wana Jf tuliohudhuria.
Bwana Ametoa,
Na Bwana Ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe.
Ameeen.
Tunashukuru sana kwa uwakilishi, inatia moyo kwa kweli kuona watu mnaowasiliana kwa keyboard tu wanajitokeza unapokuwa na tatizo. Nimewapenda sana wooooote mliotuwakilisha, Mungu atawabariki sana
 
KakaKIIZA pole sana...........naomba nikufariji na hili

"Blessed are those who mourn, for they shall be comforted." Matthew 5:4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom