Nawashukuru sana wana JF.

Paw, namuombea my son uporoto usimpige ban walau kwa miezi 6 manake yuko vulnerable na ana stress. Akipata maudhi anaweza kushindwa kujizuia. Natanguliza shukrani zake, zangu mama yake wa kambo na za mkewe husninyo. Tunashukuru kwa ushirikiano
Tunazidi kukuombea faraja na utulivu kwenye hiki kipindi kigumu kwako na familia.

Tupo pamoja ingawa wengine hatuwezi kujiexpose lakini fahamu tupo pamoja nawe ktk hali yoyote ile.
 
Paw, namuombea my son uporoto usimpige ban walau kwa miezi 6 manake yuko vulnerable na ana stress. Akipata maudhi anaweza kushindwa kujizuia. Natanguliza shukrani zake, zangu mama yake wa kambo na za mkewe husninyo. Tunashukuru kwa ushirikiano
Hi mom,siwezi kupigwa ban na sijawahi hata kuonywa naheshimu mawazo ya watu na mtu akinikera na-report abuse.
 
Shukrani za dhati kwa wote walionipa pole hapa,waliotuma sms/e-mail,waliopiga simu(dena e.t.c) na waliokuja msibani (Faizafoxy e.t.c) nawashukuru sana kwa faraja zenu na nimeamini JF ni zaidi ya keyboard.

U're welcome Mkuu. Pole na msiba na karibu tena!

Ila nitakuwa mnafiki sana kama sintazungumza jambo lililonishtua kidogo! Ukutana na FF uso kwa uso!? Duh.... Unabahati sana!
 
Paw, namuombea my son uporoto usimpige ban walau kwa miezi 6 manake yuko vulnerable na ana stress. Akipata maudhi anaweza kushindwa kujizuia. Natanguliza shukrani zake, zangu mama yake wa kambo na za mkewe husninyo. Tunashukuru kwa ushirikiano
Kumbe wenzetu mpo familia nzima! Hatahivyo msijali. Nawapa pole sana nyote, kwa yaliyowakuta na kwa kipindi chote kigumu.
 
Dah! nimepata habari late sana jibaba, pole sana mpiganaji, nimeitafuta sredi sikuiona kwahiyo acha niweke pole yangu hapa hapa tu.
 
Usijali, pole zako mie nazibeba nzima nzima na nakuahidi kuzifikisha kabla jua halijazama.

Na haya ndio madhara ya kuingia jf kwa kutegemea laptop ya jirani, ona sasa jirani kasafiri na laptop yake na wewe umepitwa. Shukuru mungu amerudi jana. Nilikuwakilisha vema kabisa!
 
mpe msaada wa link atakushukuru kweli, sasa umempiga dongo linaendana na ukweli.nukta
 
Shukrani za dhati kwa wote walionipa pole hapa,waliotuma sms/e-mail,waliopiga simu(dena e.t.c) na waliokuja msibani (Faizafoxy e.t.c) nawashukuru sana kwa faraja zenu na nimeamini JF ni zaidi ya keyboard.

Pole sana Uporoto01 tuko pamoja Mungu akupe nguvu
 
Back
Top Bottom