Usijali, pole zako mie nazibeba nzima nzima na nakuahidi kuzifikisha kabla jua halijazama.
Na haya ndio madhara ya kuingia jf kwa kutegemea laptop ya jirani, ona sasa jirani kasafiri na laptop yake na wewe umepitwa. Shukuru mungu amerudi jana. Nilikuwakilisha vema kabisa!