Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Nawashangaa Sana wanawake wanaojiuza

Ugumu na dhiki za maisha si kigezo cha mtu kufanya uhalifu.
Wizi, udokozi, ukibaka, umalaya, ukahaba ni ishu ya tabia ( roho ).
Ukimpa kibaka au malaya milioni 20 mpe miezi miwili tu hata buku hana.
Pana watu wana maisha magumu kuliko hao na wanakaza hadi wanatoboa.
Hakika
 
Kuna mke wa mtu anafanya Kazi ya kukusanya kodi zetu Mr wake nae ni mfanyabiashara Mkubwa tu wote Wana pesa,mijengo mikali,magari makali lakini akitulizi kipira kinamuwasha hatari kijana yeyeto tu handsome anapewa usajili anavaa jezi Uwanjani.
Aina hii si ishu ya uchumi ni spirit
 
Hapa nazungumzia wale wanawake ambao huwalipisha pesa wanaume kabla au baada ya kuwapa papuchi

Huwaga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu wanawake wanaojiuza


1. Je,Wamejaribu kila biashara zikawashinda hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

2.Wameuza Mali zao zote mpaka wamebakisha nguo zao tu hivyo wameamua kujiuza wenyewe?
3.Wanaogopa biashara za kujumua na kuuza bidhaa kwamba watafilisika hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

4.Hawakopesheki na mabenki au taasisi zingine za mikopo wakaanzisha biashara na ujasiriamali hivyo wameamua kujiuza wenyewe?

5.wamejipa thamani ya bidhaa ndogo ndogo kama vile sigara,unga,kilo ya mchele,fungu la bia n.k? kwani wengine wanajiuza mpaka shilingi aftano.

6.Ikiwa wamejipa thamani kama bidhaa zingine ambazo zinalipiwa Kodi na kuiingizia nchi mapato kwanini na wenyewe wasilipishwe Kodi kulingana na dau lao wanalojiuzia?

Karibuni kwa michango
Usiwashangae

Unaweza kukuta hata wa kwako usiye mshangaa yuko humo, anatoka nyumbani kwako amesukumia nywele kushoto, akifika huko anazisukumia kulia, anavaa miwani, unapishana naye humtambui

Ishi nao kwa akili
 
Kuna mke wa mtu anafanya Kazi ya kukusanya kodi zetu Mr wake nae ni mfanyabiashara Mkubwa tu wote Wana pesa,mijengo mikali,magari makali lakini akitulizi kipira kinamuwasha hatari kijana yeyeto tu handsome anapewa usajili anavaa jezi Uwanjani.
Aina hii si ishu ya uchumi ni spirit
Yeah hilo ni pepo mkuu
 
Hii ni biashara kama biashara zingine ndio maana wameamua hivyo
Kuna nchi zingine ukimuita Malaya anakushtaki na ni walipa kodi wazuri tu
Wanajulikana na wamesajiliwa pia wanaenda hospital mara kwa mara kupimwa na kutibiwa
Wanazingatia afya zao
Ila kwa Waafrika ni tofauti wao ni waizi, wachafu, wanashirikiana na majambazi, wana maradhi sugu na yasiyopona
Wanakuambukiza makusudi, hawaendi hospital kujitibu


Hiyo ndio tatizo unaliona wewe kwa hao wa bongo ila kuna nchi utakuta madaraja yanajengwa kwa mchango wa kodi zao pia
 
Nakubaliana na wewe mkuu lakini kwasasa wameenda mbali zaidi,unakuta mdada ana kazi yake au biashara na anapata kipato kizuri tu lakini bado anajiuza.pia mwingine unakuta kaolewa na mume wake anazingatia huduma na mahitaji mengine lakini pia anajiuza .lol
Ni kazi kubwa sana
 
Usiwashangae

Unaweza kukuta hata wa kwako usiye mshangaa yuko humo, anatoka nyumbani kwako amesukumia nywele kushoto, akifika huko anazisukumia kulia, anavaa miwani, unapishana naye humtambui

Ishi nao kwa akili
Wanawake wengi wapo huku na sasa imekuwa kama fashion kwao kumbe ni laana
 
Back
Top Bottom