Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,420
Kama ni kweli anachokisema hajui namna ya kutuma multiple Email, txt msg na JF private message, basi kuna ulazima wa vijana kutokimbilia kupost vitu humu badala yake siku moja moja wawe wanazitumia kwa know how ya computer knowledge. inaonekana humu option nyingi watu wanaziona kama mapambo wakati kila button ina kazi yake, ndio maana huwa sishangai issue ya kuMp Invisible utashangaa inaanzishiwa thread!!
Well kila mtu anajifunza at some point. . . wengine wanawahi kwa kuwa ni watundu na wengine wanachelewa kwahiyo inabidi tuwe tunaelimishana taratibu.