Ahahahaaaa..kwanini hukuweka picha zao?...maana hao vimodo wapo wa aina mbalimbali...wapo wenye vitako kaa piritoni, wapo wenye "vijungu mwiba"..wapo wenye vikundu juu...ila pia ukumbuke navyo ni pasua kichwa balaaa..full vituko plus ukatuni..na hasa akiwa mwembamba na mfupi..sijui warefu wakoje coz kwenye warefu mie napenda awe na nyama hasa ukila unakula aliyenona...unakamata twiga wa ukweli..mzee wa magondi ya haja.
Nasisitiza weka picha mkuu.
Nimecheka sana kwa kweli. Kama unaweza ninaomba uniwekee picha ya;
1. Mwenye kitako kama piritoni.
2. Mwenye "kijungu mwiba".
3. Mwenye kikundu juu.