nawapenda mabinti wembaba.

nawapenda mabinti wembaba.

Kuna jukwaa la matangazo madogo madogo, unaweza peleka tangazo lako kule.

upo sawa! Self expression za hivi kila mtu akiexpress vinavyomdatisha si tutajaza threads? Nisaidie muulize umri wake na division alopataga.
 
wao pia wananipenda, maana nadate wote sampuli hiii...niko type ya wanaopendwa na watu kama hawa
LUvDw.jpg
 
Ahahahaaaa..kwanini hukuweka picha zao?...maana hao vimodo wapo wa aina mbalimbali...wapo wenye vitako kaa piritoni, wapo wenye "vijungu mwiba"..wapo wenye vikundu juu...ila pia ukumbuke navyo ni pasua kichwa balaaa..full vituko plus ukatuni..na hasa akiwa mwembamba na mfupi..sijui warefu wakoje coz kwenye warefu mie napenda awe na nyama hasa ukila unakula aliyenona...unakamata twiga wa ukweli..mzee wa magondi ya haja.

Nasisitiza weka picha mkuu.
 
upo sawa! Self expression za hivi kila mtu akiexpress vinavyomdatisha si tutajaza threads? Nisaidie muulize umri wake na division alopataga.
Watu wa namna yako wenye maswali kama haya ujue ni wale waliofeli sana halafu hawana ajira apo utakua umechukua 30 min kwenye internet cafe unaanza kupost hay, mind your own business, hichi ndicho ninachopenda na nimeamua kupost weka yako, servers zikijaa mods wapo watafuta tutajaza tena, this is what is all about dude , kuwa mpole
 
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.

Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..

Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...

sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..

Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..

Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..

Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...

Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..

Kwahiyo?
 
mwanamme anaependa wanawake wembamba ujue huyo ni mvivu na hawezi, utchukuaje binti kama mwanao, beba zigo mwenyewe ukiliangalia unajisifia, yaani kama vile unaua tembo
 
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.

Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..

Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...

sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..

Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..

Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..

Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...

Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..

athanteee,tunakupenda pia kwakwel ila uache ubahili
 
...hahahahaha utaishia kushika mapembe, wenzako wakamua maziwa.........au yaleyale....utaishia kunawa tu, kula wala wenzio....hadi raha jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom