mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 552
- 1,305
Shame upon mzazi how? Mzazi anapambana kumsomesha mtoto ila ndo hvyo tenaSalama kitu gani?
Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu.
Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata amefura nimuachie demu wake amfundishe adabu kumuangalia vizuri ni bodaboda ninayemfahamu muda mrefu sana.
Mtoto wazazi wanajibana litoto limepata ufaulu wa ajabu form four/six linakuja kuhangaika na bodaboda huku mtaani.
Mzazi wa huyu binti shame upon you.