Watoto wa kike vyuo vikuu wawekewe mageti, watoto wengi wa kike wanaharibikiwa wakiwa vyuoni

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Wasalaam

Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa Dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa Mwanza, Mbeya na Arusha vile vile. Serikali liangalieni hili, watoto wengi wa kike wanaharibikiwa wakiwa vyuoni.
 
Waende wachungaji na wenye ushawishi mkubwa wakahubiri huko .....lakini hawana sadaka nzuri hao
Mchungaji utembee kwa baiskeli au on foot
 
Dah,hawa watoto Mungu awasaidie tu,unamkula mtoto wa watu,kisa anataka kununua simu kama ya rafiki yake! Unamkula mtoto kisa hana Ada alikula pesa zote! Unamkula mtoto wa watu kwa Serengeti Lite za 7000 tu jamani
Hao sio watoto,
Wasalaam

Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Hao sio watoto mkuu, ni watu wazima! Sasa wakifungiwa mageti utamkula nani kwa kukosa simu au ada? Acha unaa kamanda
 
Ni wazo zuri japo sioni km geti litawazuia kubadili tabia zao
Wakiwekewa mageti wanayakata wanatoka,hahahahaaaaaa.Asante Yesu kwa kuja kutukomboa.Ama kweli utumwa wa dhambi mbaya sana!.Kadiri unavyonijalia siku za kuishi ndivyo ninavyoiona thamani yako katika maisha ya wanadamu.Jina lako litukuzwe daima!
 
Heeeh wee waache tyuuuh, aaah wengne home n gate kali, plus boarding tang nursery, chuo ndo sehem ya kua huru.
Wee huna pesa, watoto wa chuo unaishia kuwaona kweny TV,
Tafuta pesa buddah.
 
Wasalaam

Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Uzi tayari dah!!!,una uhakika gani kuwa hao wote ni watoto wa vyuo vikuu??
 
Tangu lini mwanafunzi wa chuo akachungwa kila mtu anayeenda chuo ujue uyo mtu mzima waache wajichunge wenyewe but kibaya au kizur kitakamchomkuta atajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom