Mzee watu weusi tuna laana. Laana ya milele... Yani muomba ushauri hapa ajitafute kwelikweli. Mana hata mifumo ya intern hasa kwa ofisi private sio rafiki.Bongo nyoso sana aisee niliona volunteer tasisi ya serikal wanawafukuza Sasa mtu anakaz na salary anayo ila anamuwekea vikwazo intern/volunteer aisee.
Jamaa anazan ni simple tu ujafanya field unapewa kitengo.Talk is cheap.
Kabisa mzee.ajitafute tu kivingine.Mzee watu weusi tuna laana. Laana ya milele... Yani muomba ushauri hapa ajitafute kwelikweli. Mana hata mifumo ya intern hasa kwa ofisi private sio rafiki.
Binafsi nashauri awekeze sana kwenye competency. Ajitahidi kusaka uwelewa wa chochote ili kusavaivu na ajiimarishe hapo. Huku kwingine Kuna matatizo ambayo hayavumiliki
Ulisoma nlichokiandika? UsikurupukeJamaa anazan ni simple tu ujafanya field unapewa kitengo.
Ni kweli ukiona mtu anadharau ajira huyo ameshiba na ana pesa.Watanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.
Najuta natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yamgekua na afadhali muda huu ningekua nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba
NB: Majuto ni mjukuuu
JidantMsoto hupelekea kufikiri mambo makubwa zaidi kuliko anaeishi Kwa raha kisichomfanya mtu kuwa mkuu hata baada ya miaka mingi kisikufanye ujisikie vibaya
Najuta na umri umeshaenda sijui pa kuanzia biashara nayo chenga mtaji ulikata [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ni kweli ukiona mtu anadharau ajira huyo ameshiba na ana pesa.
Ualimu wa Dada yangu
1. Ulinisomesha
2. Tulijenge nyumba ya matofali zamani ya makuti
3. Wazazi wake woote wanapata matibabu ya Bima ya Afya bila utata.
4. Watoto wake wanasoma shule
5. Anapata mlo na mahitaji ya kawaida kwa uhakika.
Unamshauri afanye Biashara, Biashara ni Nzuri, mara ajiajiri asikubali kuajiriwa...UNAMPA MTAJI?
Unamlinganisha na Wahindi na Waarabu wanaorithi mamilioni ya pesa kwenye account zao toka kwa Babu zao?
Muwe mnaongelea uhalisia kwa kumzingatia Mtu wa chini asiye na chochote cha kuanzia.
Usikate tamaa...muda wako haujafikaWadogo zangu waliosomea ualimu wako wawili saiv wanaheshimika nyumbani wanaonekana wa maana sana
Nadharaulika sina mbele wala nyuma
Mkuu vipi course ya hotel management Ina tijaUfinyu TU wa maarifa ila huwezi kuniambia Hana Cha kuanzia wakati ni mzima sio kilema. Kitendo Cha yeye kuwa mzima ni mtaji tosha. Cha kuanzia anacho.
Kila kozi Ina tija kama unae wa kukusaidia. Nchi yetu hii hivi sasa Kila kitu connection. Bila connection kutoboa ni ngumu sana.Mkuu vipi course ya hotel management Ina tija
Kuwa Yatima mwisho ni miaka 18 wewe kwa sasa usijiite Yatima maana wewe ndio Baba na Mama yako!Tatizo Sasa ushauri kama huu naupata too late kipindi Niko chuo hamna mtu wa kukumentor
Yaani unajikuta unajifanyia mambo mwenyewe tuu bila muongozo hasa Kwa sisi yatima tusio na wazazi ndugu hawahangaiki kabisa
Mpaka nimelia [emoji24][emoji24][emoji24] Asante mkuu ubarikiweKuwa Yatima mwisho ni miaka 18 wewe kwa sasa usijiite Yatima maana wewe ndio Baba na Mama yako!
Pambana usikate tamaa kama kazi kupata kwa hiyo course utapata ni swala la muda tuu!
Usijute kusoma ulichosoma you can not take it back….! Songa mbele kama kuna fursa nyingine ichukue…
Usijali mtu na usijilinganishe na mtu kama uko hai na unapumua bado muda wa kushinda upo na upo usijali mazingira wala miaka na muda kwenda cha msingi wewe amini katika mapambano yako ni lazima kazi uipate!
Kama huna mishe kwa sasa anza kuzungusha bahasha yenye CV na kila kitu uwe tayari kufanya kazi hata ambayo ujasomea lakini uwe tayari kujifunza …usikubali kulala ndani wewe ni mwanaume pambana pambana usikubali kabisa…
Nyanyuka zungusha huo mwili kila ofisi hakika mkaa bure sio sawa na mtembea bure….Pambana mkuu utatoka
Kazi ni kipimp cha UtuWadogo zangu waliosomea ualimu wako wawili saiv wanaheshimika nyumbani wanaonekana wa maana sana
Nadharaulika sina mbele wala nyuma
Kingine si sawa kujilinganisha na wadogo zako walimu, kwenye maisha kila binadamu ana timeline yake ambayo haifanani na mwingine, pita njia yako , wakati wa Mungu ni wakati sahihi usikate tamaa.Mpaka nimelia [emoji24][emoji24][emoji24] Asante mkuu ubarikiwe
Point.Tatizo Sasa ushauri kama huu naupata too late kipindi Niko chuo hamna mtu wa kukumentor
Yaani unajikuta unajifanyia mambo mwenyewe tuu bila muongozo hasa Kwa sisi yatima tusio na wazazi ndugu hawahangaiki kabisa
Kwa niaba ya Mpwayungu Village, ahsante sana!!!🙏🙏🙏🙏Watanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira Serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu, wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.
Najuta, natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yangekuwa na afadhali muda huu ningekuwa nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi, wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba.
NB: Majuto ni mjukuuu
Sijakuelewa mkuuKwa niaba ya Mpwayungu Village, ahsante sana!!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna mchangiaji maarufu sana humu JF kwa jina la Mpwayungu Village. Ni Mwalimu na anaipenda sana kazi yake ya ualimu. Nahisi kutokana na majukumu yake ya ualimu uenda bado hajaiona ndio maana nikashukuru kwa niaba yake.Sijakuelewa mkuu