boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Yeah..Ya kiukweli hiyo..Kwan we hujui kuwa hata we nakuheshimu??
Uvumilivu umeagizwa kwa wote, mliambiwa "mtupende" hebu rejea biblia inasema nini kuhusu "upendo" maana Mungu alijua mkitupenda mtazishinda tamaa zingine zoooote, sasa iweje ifikie eti mkeo anakuudhi hadi huwezi kuvumilia? Basi jua wewe ni kimeo zaidi yake.
Subiri akija umueleze mwenyewe, mie kazi yangu imeisha, na si unajua mie ni marufuku kuniita kwenye vikao vyenu vya usuluhishi? Mie mnipege taarifa tu.
Amchukiae nduguye ni muuaji
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
je yeye ni mrs right?
Sisi waafrika Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema katika mahaba alitupa upendeleo. Paja la binti/dada/mama wa kiafrika linatia wazimu "wanaume" kuliko hata mgao wa umeme. Ndio maana Bibi zetu waliwatafutia waume zao mpango wa kando kwa kujui mwanaume wa kiafrika hawezi kutulia na mtu mmoja.
Kingine kinahamasisha haya ni uvivu, jamii imejikuta ni ya watu wavivu wenye kupenda kula vizuri. Matokeo yake ndio hayo unayolalamikia.
Ushauri wangu tafuta mjapani ili usiumizwe. Soma kitabu kinachoitwa "BIKIRA YANGU"
Ukiwapenda watakukaa akilini, ukiwachukia watakukaa akilini pia. Ukishindwa kuwapenda basi waignore tu then be happy na maisha yako. Afu ipo siku utampata "Mr right" wako na utasahau machungu yote. Ubaya wa huyo aliyekutenda usikubadili ukawa bad girl, wala usichukulie kuwa wanaume wote hawafai. Just keep on being a good girl.
According to maelezo yake, hata kama ana mapungufu yake ( no one is perfect), she seems to be a good girl
Ni kweli shemeji ila wanawake wakiishiwa na uvumilivu ndio inakuwa hatari mno, ndio maana nasema kwamba girlz they need to do soo ku rescue mambo....la sivyo.. mambo yataharibika
Ujinga ni Pale Unapoumizwa na Mmoja kisha kutuchanganya Wanaume wote... Hivi Umeshawahi kuambiwa wanaume wote tupo sawa Kimawazo, kimatendo na Kifkra? kuwaingiza wanaume wote kwenye kosa lililofanywa na Mwanaume mmoja nikutukosea Heshima.
Heeeeinakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
pole dada ila jua hata maandko yanasema kila jarbu litapta hvyo muombe mungu na uskmbilie kumuacha muombee xana na mungu atajbu