Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Mkuu, na mimi nimerudi lunch, sasa tulikuwa tunaongelea nini tena vile??Hahahahaha! ngoja niende lunch kwanza. Kwa hiyo inakuwa kama jabulani siyo? Manake inawapa shida sana magolikipa eti!!
,.........ahaaa! jabulani, ndio!magolikipa hawaoni ndani, huwa zinabaki kama pete!!! na huwa wanajua hii mbichi mbichi na wanakaa kimwa!!
Tuseme ukweli kabisaaa! hata huyu mchumbangu tulianza kula peku kwa mtindo huo!~