Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Si vema kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa.....kuna wale ambao hufanya hivyo na wanalazimika kuvaa condom,kuna tetesi kuwa kuna baadhi ya wanaume wenzangu ambao hutoboa condom pale chini halafu anaivaa,wewe unajua angalau upo salama kwa kiasi fulani kumbe sio.Hawa watu aidha wameathirika hivyo wanataka wafe na mtu au hawataki tu kuvaa condom:
USHAURI: KAGUA CONDOM KABLA YA MECHI.

Baada ya maluvluv ya hali ya juu sasa shughuli zinakaribia kuanza na njemba inajianda kuingia uwanjani na madaruga yake binti anaomba kukagua daruga kuhakikisha ziko salama ili naye awe salama njemba inakuja juu daruga zangu hizi mpya kabisa wala sijawahi kuzichezea popote pale sasa wewe wasiwasi wako wa nini?
Binti: Naomba nihakikishe kwamba ziko salama vinginevyo shughuli imevunjika
Njemba: Nimeshakwambia daruga zangu ni salama kabisa kama huniamini niambie sikuamini niingie zangu mitini.
Binti: Huu ni usalama wangu (huku akipandisha sauti) kama hutaki nikague daruga kuhakikisha mimi mwenyewe basi shughuli hakuna

Patamu hapo! Imagine njemba iliyokwishasaula kila kitu na kubaki kama alivyozaliwa na maspeed yameshampanda hadi utosini anapoambiwa shughuli hakuna. Kazi kweli kweli! lol! binti anaweza kabisa kubakwa!
 
mie condom ilikuwa muhimu kwenye handbag yangu, wakati naanzana na shem wako alikuwa ana wac na mie sana, mana akifanya hivi na vile namwambia ucjali hii hapa, akawa ananihic vibaya mbona kila wakati hiyo kitu ipo kwenye handbag, na mwenyewe alibembeleza sana "tumeshazoeana sasa"..kwangu ilikuwa big no, c unajua zile za kushtukiza unatoka job unapitia kwake?...lol.... mpaka tukafikia malengo mengine...Preta uwe unamvalisha kabisa kabisa.

nilikuwa nafanya hivyo nikaona kazi zinazidi.....tukaamua kwenda kupima
 
baada ya maluvluv ya hali ya juu sasa shughuli zinakaribia kuanza na njemba inajianda kuingia uwanjani na madaruga yake binti anaomba kukagua daruga kuhakikisha ziko salama ili naye awe salama njemba inakuja juu daruga zangu hizi mpya kabisa wala sijawahi kuzichezea popote pale sasa wewe wasiwasi wako wa nini?
binti: Naomba nihakikishe kwamba ziko salama vinginevyo shughuli imevunjika
njemba: Nimeshakwambia daruga zangu ni salama kabisa kama huniamini niambie sikuamini niingie zangu mitini.
binti: Huu ni usalama wangu (huku akipandisha sauti) kama hutaki nikague daruga kuhakikisha mimi mwenyewe basi shughuli hakuna

patamu hapo! Imagine njemba iliyokwishasaula kila kitu na kubaki kama alivyozaliwa na maspeed yameshampanda hadi utosini anapoambiwa shughuli hakuna. Kazi kweli kweli! Lol! Binti anaweza kabisa kubakwa!

mvua 30 ujue!
 
Kondom zimepitwa na wakati na sio muafaka kwa watu ambao wana uhakika wa kurudia kumegana zaidi ya mara 3. MKAPIME
 
mvua 30 ujue!

hahahahahahahah J mvua 30 zitoke wapi? ulimsoma MJ1 wiki chache zilizopita alipoandika, "Siku nyingine huwa mnatubaka." Bahati mbaya au nzuri huwa hawasemi kama wamebakwa pamoja na kujua leo jamaa kambaka. Ingekuwa wanaenda mbele ya sheria na kushtaki kama wamebakwa basi wengi hizo mvua zingewanyeshea.
 
Kondom zimepitwa na wakati na sio muafaka kwa watu ambao wana uhakika wa kurudia kumegana zaidi ya mara 3. MKAPIME

HATA KUPIMA imepitwa na wakati,kuna watu (FATAKI) anakuwa nae wa kila siku,lakini anao wa pembeni kama mia moja hivi.Hivi huyu utamuweka kwenye kundi gani?
 
mie nimewahi kutoboa condom kuna demu nilikuwa napiga long time akawa anadai nikipiga bao atapata mimba kwa hiyo nikishaivaa napiga kidogo baadae naitoboa pale mbele na kitu chenye ncha kali nikirudisha tena ile kitu dubwilini mikito mitatu tu unakuta kondomu inachapa kende
..Duh! we ni zaidi ya Al-qaida au Al-shabab mwanawane!!
 
hata kupima imepitwa na wakati,kuna watu (fataki) anakuwa nae wa kila siku,lakini anao wa pembeni kama mia moja hivi.hivi huyu utamuweka kwenye kundi gani?
nasikia siku hizi wanaitwa yellow pages
 
HATA KUPIMA imepitwa na wakati,kuna watu (FATAKI) anakuwa nae wa kila siku,lakini anao wa pembeni kama mia moja hivi.Hivi huyu utamuweka kwenye kundi gani?
Ndo maana tunasema HATUAMINIKI, Tunatabirika TU!!
 
HATA KUPIMA imepitwa na wakati,kuna watu (FATAKI) anakuwa nae wa kila siku,lakini anao wa pembeni kama mia moja hivi.Hivi huyu utamuweka kwenye kundi gani?

sasa kama unajua ni fataki unamng'ang'ania wa nini dadaangu?
 
Back
Top Bottom