Nawaandikia dada zangu wapendwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tall, Jun 22, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Si vema kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa.....kuna wale ambao hufanya hivyo na wanalazimika kuvaa condom,kuna tetesi kuwa kuna baadhi ya wanaume wenzangu ambao hutoboa condom pale chini halafu anaivaa,wewe unajua angalau upo salama kwa kiasi fulani kumbe sio.Hawa watu aidha wameathirika hivyo wanataka wafe na mtu au hawataki tu kuvaa condom:
  USHAURI: KAGUA CONDOM KABLA YA MECHI.
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  hapa nina swali ngoja nitauliza baadae
   
 3. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Sio hivyo banaaa..wanatoboa condom wapate mautamu ya kula jino kwa jino na nyama kwa nyama...si unajua inavyokuwaga tamuuu
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Asante kwa upendo na ushauri.
  Mungu akubariki sana.
   
 5. T

  Tall JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mmmmmh.
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  aaaamen.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Hata mimi ninalo, naliuliza sasa hivi.

  Mheshimiwa Tolu, kwanini unatoboa kondom halafu unawamega dada zetu? Kama hufanyi hivyo ulijuaje kama wanaume wakware wenzio wnafanya hivyo?
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kama hajasikia swali, naomba kulirudia........
  Kwa nini unatoboa ndomu Tolu?
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Kakague! Kakague! Au thibitisha kwa hapa chini:  The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:
  Chrispin (Today)
   
 10. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  mie swali langu tofauti kidogo unajua condom unapoitoboa halafu ukaingiza kule ukianza kuvinyonga tu inapasuka yote kwa hiyo ni nrahisi mdada kujua (nimeongea hapo kwa uzoefu wangu wa enzi za mwl)
   
 11. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kuniambia akishaitoboa na game imechanganya hiyo kondom itapanda juu kama vile zilivyokuwa zikipanda kifuani zile chupi za V.I.P.Sasa nimepata picha,hapo itakuwa mnofu kwa mnofu.Tatizo litakuja pale utakapokuta huyo uliyetaka kumuambukiza nae anavyo vimarekani tena vyakutosha.Hivyo from diffusion process point of view,itabidi akugawie japo kidogo hivyo kujiongezea matatizo.Kwa hiyo Tall acha mchezo wako wa kutoboa hiyo maneno.
   
 12. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Si useme tuu kama na wewe ulikuwa mmoja wao.Kumbukeni funza,funza tuu,utakapo mkuta popote jua pameshaoza,acheni kutoboa kondom na tubuni kama mwenzenu anavyotubu hapa ingawa nidirect.
   
 13. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kondom ikitobolewa kabla ya kuvishwa u.u.me ni lazima itachanika wakati wa zoezi la kuivaa au kuvalishwa:

  BTW: Wanawake wenye kufahamu matumizi sahihi ya Kondomu huwavalisha wenzi wao na katika "process" ya kuvalisha uminya kile "kichuchu" kuzuia hewa isiingie - Kwahiyo "chances" za mwanaume kuitoboa ni ndogo sana.

  Play Safe - Kuizuia HAKUWEZEKANI!
   
 14. T

  Tall JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  umeuliza swali zuri sana,majuzi nilikuwa mkoa fulani unaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi(kwa mujibu wa rekodi za 2008),nilijaribu kuongea na baadhi ya akina dada kwa nini ukimwi umeenea sana maeneo hayo.walijibu '' hawa wanaume tumegundua wanatoboa condom kutumaliza,na ndio maana wanawake wengi wameathirika kuliko wanaume''
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mie nashukuru kwa ujumbe huu ila tu nauliza
  1. Mbona umewaasa kina dada tu kutofanya mapenzi kabla ya ndoa?
  2. Mbona umetuasa tusifanye mapenzi kabla ya ndoa lakini mwisho ukatuambia tukague condom? Kwa hiyo ni ruhsa kufanya ila tukague condoms?

  Aksante mwalimu
   
 16. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  mie nimewahi kutoboa condom kuna demu nilikuwa napiga long time akawa anadai nikipiga bao atapata mimba kwa hiyo nikishaivaa napiga kidogo baadae naitoboa pale mbele na kitu chenye ncha kali nikirudisha tena ile kitu dubwilini mikito mitatu tu unakuta kondomu inachapa kende
   
 17. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  hao kina dada nao wazushi tall kama unafanya research utakuja na wrong data, wangesema tu ni umalaya wao sasa kwa nn wawakubali hao wanaume kama nao hawaogopi ngoma walikuwa wanajitetea tu siku nyingine uwape posho kidogo watakwambia ukweli
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tall, umechanganyikiwa au unaelekea kushanganyikiwa?
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,415
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  :dance:
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mganyizi unadandia treni kwa mbele,kuchanganyikiwa kwa Tall kuko wapi wakati anatoa elimu ya Ukimwi?Au wewe unaona poa tu watu kuwaambukiza wenzao ukimwi kwa makusudi?
   
Loading...