Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Tall asante kwa mada nzuri..Najua wanaume wengi hapa watapinga sana na kujifanya ooh ulijuaje kama kina Chrispin walivyouliza kwa kuwa wao huwa wanafanya hivyo..Nimewahi kusikia habari hii mkaka mmoja alisema bila aibu kwamba yeye huwa anatoba kondomu kwa kuwa anataka apate ladha kamili.Cha kushangaza huyo jamaa anadai na mkewe huwa wanatumia kondomu kama njia ya family planning lakini nje ya ndoa marafuku kutumia kondomu ikibidi hivyo basi huwa anatoboa..Iko kazi!
.........Apandacho mtu ndicho atakachovuna.........Ole wao wafanyao hayo ,lazima watalipa.
 
Tall asante kwa mada nzuri..Najua wanaume wengi hapa watapinga sana na kujifanya ooh ulijuaje kama kina Chrispin walivyouliza kwa kuwa wao huwa wanafanya hivyo..Nimewahi kusikia habari hii mkaka mmoja alisema bila aibu kwamba yeye huwa anatoba kondomu kwa kuwa anataka apate ladha kamili.Cha kushangaza huyo jamaa anadai na mkewe huwa wanatumia kondomu kama njia ya family planning lakini nje ya ndoa marafuku kutumia kondomu ikibidi hivyo basi huwa anatoboa..Iko kazi!

mwanaume mwenye kumpenda na kumjali mkewe atafanya lolote kumlinda.....
 
mwanaume mwenye kumpenda na kumjali mkewe atafanya lolote kumlinda.....
You can say that again luv. Na mwanamke anayempenda mumewe atampikia, kumfulia, kumpigia pasi na kumpakulia chakula (cha mezani na cha usiku) bila mawaa.

Unatumia mvinyo gani?
 
yana mwisho haya!!mtakapo panga foleni CTC
na 2nd line iwe sugu(ikukatae)
 
You can say that again luv. Na mwanamke anayempenda mumewe atampikia, kumfulia, kumpigia pasi na kumpakulia chakula (cha mezani na cha usiku) bila mawaa.

Unatumia mvinyo gani?

Then baba anamsaidia mama kuosha vyombo, kuvifuta, kuviweka kabatini, kutandikia watoto, nk
 
Then baba anamsaidia mama kuosha vyombo, kuvifuta, kuviweka kabatini, kutandikia watoto, nk
Askofu tutakupigia kura za kukosa imani na wewe (Unaidhalilisha infidelity first law of cheating)
 
umeuliza swali zuri sana,majuzi nilikuwa mkoa fulani unaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi(kwa mujibu wa rekodi za 2008),nilijaribu kuongea na baadhi ya akina dada kwa nini ukimwi umeenea sana maeneo hayo.walijibu '' hawa wanaume tumegundua wanatoboa condom kutumaliza,na ndio maana wanawake wengi wameathirika kuliko wanaume''

unafikiri uwa zinatobolewa wakati wa kuvaa ni wakati ule umeshapoteza mawasiliano au kipindi ameshavaa anakupiga katerero mwenyewe umefumba macho ndio pale anatoboa mbona zipo hizo demu ngumu sana kujua labda ukute flava za ngozi kwa ngozi zimezidi mbona wengine uwa Tunavua kabisa na demu hagundui
Tobaaaaa
 
mada za tall huwa zinanitatiza sana! Let me just keep quite~!
usijali mkuu nitaanza kutoa mada rahisi rahisi zisizohitaji kufikiri kabla ya kuchangia. Hizi zingine bila ya kufikiri kwa makini utapoteza mwelekeo.....nadhani fasihi umeisoma/unaisoma vizuri/shuleni au chuoni.
 
Usianze kuogopa....Thats what GREAT THINKERS are here for.we dare to talk openly!
 
mie nimewahi kutoboa condom kuna demu nilikuwa napiga long time akawa anadai nikipiga bao atapata mimba kwa hiyo nikishaivaa napiga kidogo baadae naitoboa pale mbele na kitu chenye ncha kali nikirudisha tena ile kitu dubwilini mikito mitatu tu unakuta kondomu inachapa kende
hongera sana funza, msema ukweli ni mpenzi wa mungu........ni jasiri, unakubali uliwahi kutoboa ila naona siku hizi umeacha au siyo mkuu?........hapo jibu ni ndio tu
 
Usianze kuogopa....Thats what GREAT THINKERS are here for.we dare to talk openly!
mmmmmh,hongera kubadili avatar,halafu unanipa kazi niwaze ipi ni nzuri zaidi....maana zote zinaonekana safi tu.
 
Back
Top Bottom