Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

Kila mbwa anayekubwekea unataka kumpiga jiwe utachelewa sana kufika safari yako. Tuliza matako ufanye biashara comments zingine unazipotezea ili usipoteze focus.
Hiyo sio shida naelewa ila ukicheka na nyani utavuna mabuwa. Mtu anaweza kuja akiwa na lengo la uhitaji ila akikutana na makelele mengi anaweza kuanza kupata mashaka! Kumbe wanaopiga makelele hata hawajui kwanini wanapiga makelele so sometime ni vyema kuamia nyani shambani.
 
Nashindwa kusimamia zote nanazo zaidi ya 7
Kwanini usiwaite wadogo zako, kaka zako au ndugu zako uwape hizo channels ili nao wapige pesa? Pia uwafungulie zingine wawape ndugu zenu wengine muendelee kupiga pesa kiukoo kuliko kutuuzia sisi usiotujua?
 
Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM

***************
Duh nimeona niongeze data hapa Raia wanavamia uzi wakiwa wanashangaa mimi kuuza kwa hiyo bei. Kifupi nimekuwa na Channel nyingi hivyo nashindwa tena kupata muda wa kufanya kwa channels zote hivyo nimeamua nipunguze nyingine. Usicoment hapa kama hujui kitu kuhusu

Youtube Partner Program. Nadhani kwa youtubers wenzangu tutaongea Lugha moja na hakutakuwa na shida.
Naitaka hiyo channel
 
Back
Top Bottom