Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

Ninaipaka mavi biashara yake wateja waume kubwaa🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Una kosea mkuu, usi haribu ridhiki ya wengine ikiwa huku ijenga.

Ali teleza kidogo tu, no one is perfect. Though I appreciate you setting him in a right position.
 
Oya customer nyau hapa naomba ulete detail za revenue za Mwaka huu na sio Kwa miaka yote.

Hebu gusa hapo session ya 2024 au 2025 ili turahisishe biashara, au Jobless_Billionaire una semaje?
Wewe simbilisi huna hoja! Na kuna Uwezekano hujui lolote kuhusu kinachotangazwa hapa ila kama ilivyo tamaduni ya raia wa aina yako "Usione Kichaka" Kupita mbali kwenye mambo usiyoyaelewa utapungukiwa na nini boss au ni lazima uzungumze kila mahali ili uonekane smart?
 
Ohh kumbe ni win or lose situation?, basi mshindi wewe.
 
Mkuu una niita nyau and you still want me to open my god damn fuvkin account!.

Hiyo estimated si ni ya jumla kwa Miaka kadhaa hapo, we Jamaa, huoni kwa mwezi Tena kwa Mwaka fulani ime simamia dollar ngapi kama high rate siyo Dolla 48 aisee.
ww, siwezi kuuza kitu yangu kwa pumb** kama ww! Napenda heshima ya kwa ninachofanya na hata anaenipa hela yake kununua kitu kwangu aniheshimu na wote tuonane watu. Ni bora nikae na kitu yangu ndani kuliko kuitoa kwako Kwenda huko boya ww
 
Wewe simbilisi huna hoja! Na kuna Uwezekano hujui lolote kuhusu kinachotangazwa hapa ila kama ilivyo tamaduni ya raia wa aina yako "Usione Kichaka" Kupita mbali kwenye mambo usiyoyaelewa utapungukiwa na nini boss au ni lazima uzungumze kila mahali ili uonekane smart?
Acha ujuaji mkuu

Kwa biashara anaoitangaza nadhani alitakiwa kuijazia nyama na kutoa taarifa za kutosha kuhusiana na bidhaa yake
1.Idadi ya subscribers
2.Masaa ya video zilizotazamwa
3.Mapato angalau ya awamu mbili mpaka tatu zilizopita
Na mengine mengi kwa ushahidi ikiwemo ushahidi wa picha ama video ili kuongeza imani kwa wateja wake
 
Yeye hataki kujua hilo, kaanza ku attack Kama karogwa😂😂
 
ww, siwezi kuuza kitu yangu kwa pumb** kama ww! Napenda heshima ya kwa ninachofanya na hata anaenipa hela yake kununua kitu kwangu aniheshimu na wote tuonane watu. Ni bora nikae na kitu yangu ndani kuliko kuitoa kwako Kwenda huko boya ww
Sasa unge taka heshima usinge nitusi mkuu, au Kuna sehemu niliyo dhalilisha utu wako?.

Nili hitaji detail ili kuthibitisha, ambazo nazo ume shindwa ku offer. Una ishia kuanza kupayuka ka ume meza CD ya kwaya za kikatoliki.
 
Online marketing sio ya kila mwenye simu/Pc bali kwa mwenye elimu na ujuzi wake....
Yaani nime omba detail za revenue payment za kila mwezi ana leta za miaka m3 ambayo ni ka dola 1000+.

hataki kuleta za Mwaka husika itakayo onyesha malipo kila mwezi, hapa hamna kitu wazee.
 
Sasa unge taka heshima usinge nitusi mkuu, au Kuna sehemu niliyo dhalilisha utu wako?.

Nili hitaji detail ili kuthibitisha, ambazo nazo ume shindwa ku offer. Una ishia kuanza kupayuka ka ume meza CD ya kwaya za kikatoliki.
Prezidaa inatosha mkuu nadhani nia yako imeshajulikana, kufanyiwa kazi ataamua yeye
 
Acha ujuaji mkuu

Kwa biashara anaoitangaza nadhani alitakiwa kuijazia nyama na kutoa taarifa za kutosha kuhusiana na bidhaa yake
1.Idadi ya subscribers
2.Masaa ya video zilizotazamwa
3.Mapato angalau ya awamu mbili mpaka tatu zilizopita
Na mengine mengi kwa ushahidi ikiwemo ushahidi wa picha ama video ili kuongeza imani kwa wateja wake

Kwa kawaida, hizi taarifa huonyeshwa kwa mtu aliyeonesha nia ya kweli ya kununua, kupitia inbox ama mawasiliano ya moja kwa moja, si hadharani. Kwa sababbu

Ni ulinzi wa mbinu na mikakati ambayoo itaendelea kumsaidia anaenunua hapa naongelea sana Niche na style yako ya content.

Kingine ni kukwepa watu wanaotafuta pa kuanzia kwa kucopy mawazo ya wenzao au kuharibu jina bila nia ya kweli ya kununua, Hapa ni kama wavamizi wa huu uzi wengi wanaonekana hawajuai lolote kuhusu youtube.

Pita kwenye masoko ya kuuza channel, hatupewi kila kitu public bila kuomba.

Ushauri wangu acheni kudandia kila kitu!
mtu hujui kitu kuhusu PC Language ukakuta watu wanazungumzia mambo ya python, sellenium, mmh, java, prophet na wewe unadandia na kuanza kutoa maoni na ushauri mbalimbali! hehehee bongo nyosoo. Mimi hapa nacoment kwenye uzi wangu, Nani mjuaji kati ya mimi na yeye angalia mara ya mwisho nimecomment kwa mtu ni lini
 
Matusi sio muhimu sana boss
Humu Jf ukijifanya malaika sana raia watakupanda kichwani, watu ni wengi na kila mtu na tabia zake, wenye huruma na vichaa na ukiwa unavunga mwisho utaonekana mlughalugha au unataka kuibia watu, si kila muda tuwe tunachekacheka
 
Back
Top Bottom