Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

Mtu anaetaka kununua hii hawezi kuja hapa atakuja inbox na kuniomba nimtumie data
Kashakimbia..
Kiufupi kala chochoro na hapa nakuomba radhi mkuu baada ya ushaidi wote ule naomba nisamehe kama nimeonge lugha chafu yoyote huko.juu
Bro inakera raia wanakuja hapa ukiwauliza hata cpm, au rpm ni nini hawajui! Cha ajabu nao wanakuja hapa kutoa maoni mbalimbali ili hali hawajui hata hizo accont zinavyooperate
 
Mtu anaetaka kununua hii hawezi kuja hapa atakuja inbox na kuniomba nimtumie data

Bro inakera raia wanakuja hapa ukiwauliza hata cpm, au rpm ni nini hawajui! Cha ajabu nao wanakuja hapa kutoa maoni mbalimbali ili hali hawajui hata hizo accont zinavyooperate
Daaah mkuu kweli kabisa kutokana na evidence zako nimeona kabisa kuna shida mahali kwa sisi watu wa jf..

Maana nimefatilia naona watu wanaongea ongea kumbe mambo hawajui na hapo hutoona watu wakija for bussenes yaan walitaka wawe wanaponda ponda tuu basi..

Mkuu life ya huku ni ya kuvumilia tuu we ishi nao mkuu hv hv kuna watu wapo hapa.kudhalilisha wengine

Big up sana mkuu
 
View attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Nyau ww, WAtakuja watu wanaotaka kununua kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto na ushamba.
Mkuu una niita nyau and you still want me to open my god damn fuvkin account!.

Hiyo estimated si ni ya jumla kwa Miaka kadhaa hapo, we Jamaa, huoni kwa mwezi Tena kwa Mwaka fulani ime simamia dollar ngapi kama high rate siyo Dolla 48 aisee.
 
Mkuu kuonyesha nili kuwa na lengo hilo, nili tuma screen shot ya post aliyo tumia kwa member Eyce ili tuji ridhishe na data fulani.

Nashangaa ana niita nyau, Kuna mteja yupi ana toa hela kwa kuitwa nyau?
Kiongozi kiraza labda hukuisoma post ya kwanza ya Intelligent businessman vizuri ila mwamba alikutetea vizuri sana wakati ambao watu wote walikuwa wanakuattack

Rudia post halafu umuelewe vizuri muache vita
 
View attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Nyau ww, WAtakuja watu wanaotaka kununua kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto na ushamba.
Oya customer nyau hapa naomba ulete detail za revenue za Mwaka huu na sio Kwa miaka yote.

Hebu gusa hapo session ya 2024 au 2025 ili turahisishe biashara, au Jobless_Billionaire una semaje?
 
Msaidie ndugu yako mmoja anaejitafuta
 
Mkuu kuonyesha nili kuwa na lengo hilo, nili tuma screen shot ya post aliyo tumia kwa member Eyce ili tuji ridhishe na data fulani.

Nashangaa ana niita nyau, Kuna mteja yupi ana toa hela kwa kuitwa nyau?
Rais wa Majobless humu ndani anadhalilishwa??

Memba wako tumeumia sana😥😥😥
Tunaongozwa na Nyau yaani Nyau kweli😥😥
 
Back
Top Bottom