Kwa maongezi hlyako haya unaonekana hujui chochote katika youtube, ujumbe huu akiuona mtu anaejua youtube hawezi kuniuliza milele ataniuliza mambo nitakayojua hapa naongea na mteja, wewe kuna chance ya 99.9999 ni msumbufu tu hapa na mbabaishaji
Umemkazia jamaa kama nyerere alivyomkazia mzunguKwahyo utaki mahela hayo...
Sasa shida ipo wapi kama unazo nyingi? Hutaki pesa nyingi? Nipe nisimamie nitakulipa tsh 300,000 kila mwezi katika hiyo 1.7 milionNashindwa kusimamia zote nanazo zaidi ya 7
Yeye ataki mahela mkuuu au tunataka kujua hapaUmemkazia jamaa kama nyerere alivyomkazia mzungu
Mimi naku tetea wewe una sema naleta ujinga, haya leta data ya hiyo account hapa iki onyesha malipo ya 1.7 per month.
Mimi nita nunua hapa hapa.
Nunueni account hiyo muwe mnaupload mavyakula wewe na mwachiluwiYeye ataki mahela mkuuu au tunataka kujua hapa
Duhh mbona ume mua attack sana jamaa wakati alikua na nia njema tuView attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Kama hujui lolote kuhusu jambo achs kuingilia na kuanza kutoa maoni ambayoanaejua mambo hayo aataona wewe ni mwehu
Ahahahhaha et na mwachiluwi adhas we jamaaa jau sanaNunueni account hiyo muwe mnaupload mavyakula wewe na mwachiluwi
Poor Brain jamaa ameanza tutupiana vinu na ClientView attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Kama hujui lolote kuhusu jambo acha kuingilia na kuanza kutoa maoni ambayoanaejua mambo hayo aataona wewe ni mwehu. WAtakuja watu wanaotaka kununua hapa kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto
Daaah kweli bana yaani ni milion.4 hyo mkuuView attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Kama hujui lolote kuhusu jambo acha kuingilia na kuanza kutoa maoni ambayoanaejua mambo hayo aataona wewe ni mwehu. WAtakuja watu wanaotaka kununua hapa kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto
Eee mkuu. Hiyo partnership itakuwa lit sanaAhahahhaha et na mwachiluwi adhas we jamaaa jau sana
Hakuna client amekuja kuchafua tu, kuna posibility kubwa hajui kitu kuhusu YoutubersPoor Brain jamaa ameanza tutupiana vinu na Client
vipi nikupe hiyo 450k then uendelee kufanya kazi kupitia hio YouTube channel....tusaini contract kwa mwezi uwe unanitumia 150k kwa miezi 7 account iendelee kuwa yako??View attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Kama hujui lolote kuhusu jambo acha kuingilia na kuanza kutoa maoni ambayoanaejua mambo hayo aataona wewe ni mwehu. WAtakuja watu wanaotaka kununua hapa kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto
Hakika mkuu. Kuna watu huenda wana uhitaji ila jamaa ana-interfereHakuna client hapo ni mchafu kazi za watu
Jamaa wamemvuruga ahahadha anaona watu wanaleta utani wakat yeye yupo.kazini...Poor Brain jamaa ameanza tutupiana vinu na Client
Kashakimbia..Hakuna client hapo ni mchafu kazi za watu
Usikute huyu jamaa ni yule uliye ikuta app ya jf kweny cm yakeJamaa wamemvuruga ahahadha anaona watu wanaleta utani wakat yeye yupo.kazini...
Ndo mana nasemaga tufavye kazi za kuvuja jasho wakuu
We jamaa yule jamaa ndo ametangaza kuwa raisi mkuu ukumbukiUsikute huyu jamaa ni yule uliye ikuta app ya jf kweny cm yake