Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

kiraza

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
385
Reaction score
541
Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM

***************
Duh nimeona niongeze data hapa Raia wanavamia uzi wakiwa wanashangaa mimi kuuza kwa hiyo bei. Kifupi nimekuwa na Channel nyingi hivyo nashindwa tena kupata muda wa kufanya kwa channels zote hivyo nimeamua nipunguze nyingine. Usicoment hapa kama hujui kitu kuhusu

Youtube Partner Program. Nadhani kwa youtubers wenzangu tutaongea Lugha moja na hakutakuwa na shida.
 
Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM
Yani unauza laki Tano? Kwa mwezi ilikuwa inaingiza shingp? Alfu ungeweka hata picha hapo tuone🙄
 
Yani unauza laki Tano? Kwa mwezi ilikuwa inaingiza shingp? Alfu ungeweka hata picha hapo tuone🙄
Kwa maongezi hlyako haya unaonekana hujui chochote katika youtube, ujumbe huu akiuona mtu anaejua youtube hawezi kuniuliza milele ataniuliza mambo nitakayojua hapa naongea na mteja, wewe kuna chance ya 99.9999 ni msumbufu tu hapa na mbabaishaji
 
Back
Top Bottom