uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
- Thread starter
- #41
Haha jaribu kupata supu yake au aliyebanikwa vizuri.hautojutiakwanini mnawabadili jinsia mkuu? ila kambale simpendi ana sura mbaya sana
Haha jaribu kupata supu yake au aliyebanikwa vizuri.hautojutiakwanini mnawabadili jinsia mkuu? ila kambale simpendi ana sura mbaya sana
Nafikiri wanaitwa viluilui ndiyo. SahihiHivi kumbe na watoto wa samaki nao wanaitwa vifaranga? Duh!!
Ila hizi bei bana mnazikuza saa zingine,
Yaani Samaki mchanga alievuliwa tu unamuuza Tshs 500 wakati ferry hiyo Tshs 500 unapata samaki alievuliwa na Mvuvi akauzwa kwa Mchuuzi ambae nae akamsafisha na kumkaanga.....!!!!!!
Punguzeni bei jamani, bei ya kifaranga ilitakiwa kua hata Tshs 100/=
hayaNafikiri wanaitwa viluilui ndiyo. Sahihi
Wee! Usiendee. Wewe mwenyewe utageuka chambo ya mfuga samaki... Au kama ukijitoa mhanga kwenda vaa pedi ili akikusumbua unamwambia uko Period! Nakupenda dada angu miss Natafuta...sawa nitakuja kesho asante
AHAHAHAAWee! Usiendee. Wewe mwenyewe utageuka chambo ya mfuga samaki... Au kama ukijitoa mhanga kwenda vaa pedi ili akikusumbua unamwambia uko Period! Nakupenda dada angu miss Natafuta...
zipo Mkuu kuna watu wanauza .ila sangala wanachangamoto nyingi.ndo maana kuwafuga ni adimu sanaKambale ana shombo kal sana bt mkuu mbegu ya sangala iv ipo
Hahah hakuna mambo hayo.kua na amani Dada yako atakua kwenye mikono salamaWee! Usiendee. Wewe mwenyewe utageuka chambo ya mfuga samaki... Au kama ukijitoa mhanga kwenda vaa pedi ili akikusumbua unamwambia uko Period! Nakupenda dada angu miss Natafuta...
Sawa mkuu ila Kisw.ni kigumu yapaswa kirasimishwe kwe elimu ili maneno ya msamiati yaongezekeNafikiri wanaitwa viluilui ndiyo. Sahihi
K..nipe uzoefu wako juu ya waha ainaj ya sangara changamoto zake.hasazipo Mkuu kuna watu wanauza .ila sangala wanachangamoto nyingi.ndo maana kuwafuga ni adimu sana
Kwa sasa sina picha Mkuu badae nikivua nakutumia.kapicha kidogo, labda picha itapandisha uchu
Ndugu unalenga kufanya biashara kweli? Weka taarifa zote zinazotakiwa kwenye tangazo ikiwemo namba ya simu au wewe unafikiri ukishaweka bei umemaliza?Nauza Kambale wenye uzito kuanzia kg moja mpaka kg mbili.bei kwa jumla 5000 kwa kg.napatikana kibaha.mawasiliano zaidi pm ntakupatia namba.karibuni
Haha sato wako pia .ushidwe wewe tusijui kwa nini siwezi kumla kambale ? naona kama linyoka lifupi samahani mfanya biashara