msendoking
Senior Member
- Feb 15, 2017
- 128
- 93
Mawasiliano dar kubwa
Ata mm nimesoma samaki najua punguza maji kwenye bwawa alafu piga picha acha uvuviKukitoa kifaranga haitakiw kukaa muda mrefu nje ya maji visije kufa.picha hiyo no ya wa kubwa kubwa
Nauza Vifaranga vya sato na Kambale.
Dar es salaam
Ntakufikishia popote ulipo
Bei sato 250 Kambale 500
Kwa mawasiliano zaidi pm
Ila hizi bei bana mnazikuza saa zingine,Nauza Vifaranga vya sato na Kambale.
Dar es salaam
Ntakufikishia popote ulipo
Bei sato 250 Kambale 500
Kwa mawasiliano zaidi pm
ahahaaa kweli una point mkuuIla hizi bei bana mnazikuza saa zingine,
Yaani Samaki mchanga alievuliwa tu unamuuza Tshs 500 wakati ferry hiyo Tshs 500 unapata samaki alievuliwa na Mvuvi akauzwa kwa Mchuuzi ambae nae akamsafisha na kumkaanga.....!!!!!!
Punguzeni bei jamani, bei ya kifaranga ilitakiwa kua hata Tshs 100/=
usiongee usivyo vijua.uliza kama haujui kwa nn anauzwa bei hizo.kwanza unajua bei ya Samaki kilo moja?unajua gharama za kumzalisha Kambale?.unajua gharama za homoni kuwabadilisha jinsia?unajua kwamba Kambale hazaliani bwawani?haujapiga gharama za chakula.haujapiga gharama ya maji.unaongea tu weweIla hizi bei bana mnazikuza saa zingine,
Yaani Samaki mchanga alievuliwa tu unamuuza Tshs 500 wakati ferry hiyo Tshs 500 unapata samaki alievuliwa na Mvuvi akauzwa kwa Mchuuzi ambae nae akamsafisha na kumkaanga.....!!!!!!
Punguzeni bei jamani, bei ya kifaranga ilitakiwa kua hata Tshs 100/=
Njoo nikupe mchanganuo.ntakupa na Wa mboga wakula mwenzi mzimaahahaaa kweli una point mkuu
sawa nitakuja kesho asanteNjoo nikupe mchanganuo.ntakupa na Wa mboga wakula mwenzi mzima
kwanini mnawabadili jinsia mkuu? ila kambale simpendi ana sura mbaya sanausiongee usivyo vijua.uliza kama haujui kwa nn anauzwa bei hizo.kwanza unajua bei ya Samaki kilo moja?unajua gharama za kumzalisha Kambale?.unajua gharama za homoni kuwabadilisha jinsia?unajua kwamba Kambale hazaliani bwawani?haujapiga gharama za chakula.haujapiga gharama ya maji.unaongea tu wewe
Mfanyabiashara hujibu kwa weledi na ushawishi, kwa majibu ya kibabe kama haya unakosa mvuto ndg.usiongee usivyo vijua.uliza kama haujui kwa nn anauzwa bei hizo.kwanza unajua bei ya Samaki kilo moja?unajua gharama za kumzalisha Kambale?.unajua gharama za homoni kuwabadilisha jinsia?unajua kwamba Kambale hazaliani bwawani?haujapiga gharama za chakula.haujapiga gharama ya maji.unaongea tu wewe
Noted .asante kwa ushauri mkuuMfanyabiashara hujibu kwa weledi na ushawishi, kwa majibu ya kibabe kama haya unakosa mvuto ndg.
Convincing power ni muhimu mkuu
MBONA KAMJIBU FRESH TU MIMI NIMEJIFUNZA KITU HAPAMfanyabiashara hujibu kwa weledi na ushawishi, kwa majibu ya kibabe kama haya unakosa mvuto ndg.
Convincing power ni muhimu mkuu
Umejifunza nini dadanguMBONA KAMJIBU FRESH TU MIMI NIMEJIFUNZA KITU HAPA