Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

Kuku wapo
 

Attachments

  • IMG_20190812_092506.jpeg
    78 KB · Views: 9
Nmeandika 20000 hawa Ni kuku wakienyeji kutoka singida maji Mara moja kuku wenye Radha Tanzania nzima ukila hutojutia utamu wake mkuu
Mkuu 20000 bei mno ningekutaka uwe unaleta hotelini lakini unabei kubwa za ajabu sana kuku tuliye mkaanga hapa mzima tunamuuza 22000
 
Mkuu 20000 bei mno ningekutaka uwe unaleta hotelini lakini unabei kubwa za ajabu sana kuku tuliye mkaanga hapa mzima tunamuuza 22000
Mkuu hapo juu nmeandika kuku wa hotelin mtu akitaka niwe namletea Ni kuanzia 18000 kushuka chini
 
Duuu trey 15000 wanauza wenzako tena toka dodoma vijijini
Sasa mkuu it 15000 Dodoma nikaribu na singida mm mayai nayauzia dar usafir Ni gharama kidogo maana huku mayai yakuku chotara ndio Bei iyo ya 15000 mm nauza mayai orijinal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…