Ushaviuza?Habari wapendwa,
Nauza vifaa vifuatavyo kwa bei rahisi sana;
1. Photocopy machine Canon IR1022IF (inatoa copy mbele na nyuma yenyewe, na ina feeder), ipo kwenye hali nzuri sana - (bei ya kuuza 450,000/=) na wino wake mpya kabisa 1kg (bei 30000)
2. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000)
3. Lamination machine mpya kabisa ina box lake (bei ya kuuza 50000)
4. Binding machine mpya kabisa ina box lake ( bei ya kuuza 50000)
5. vifaa vya stationery (tafadhali tazama attachment inaonyesha listi ya stationeries zilizopo na bei yake)
Picha za Mashine zote zimekuwa attached.
Karibuni sana, kwa anayehitaji tafadhali anipigie kwa namba 0693733218.
View attachment 2526191View attachment 2526192View attachment 2526193View attachment 2526194View attachment 2526195View attachment 2526196
Unapatikana wapi mkuuHabari wapendwa,
Vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu.
1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20,000)
2. Lamination machine mpya kabisa ina box lake (bei ya kuuza 70,000)
Picha za Mashine zote zimekuwa attached.
Karibuni sana, kwa anayehitaji tafadhali anipigie kwa namba 0693733218.
View attachment 2569133
View attachment 2569134
View attachment 2569135
View attachment 2569136
Je iko kwenye hali gani? Ni used au mpya??Printer Epson L3150 kwa Tshs. 300000.
Unapatikana wapiHabari wana Jamii Forums.
Nauza:
1. Printer Epson L3150 kwa Tshs. 300000.
2. Lamination Machine kwa Tshs. 70000
3. wino wa Epson L3150 full set kwa Tshs. 30000.
Mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0612373688,
ASANTE.
Vifaa vina hali gani?Nipo gongo la mboto
ni used kwa muda mfupi sana, ipo kwenye hali nzuri sana na box lake lipo, karibu sana.Je iko kwenye hali gani? Ni used au mpya??
vipo katika hali nzuri sana, havijatumika kwa muda mrefu, vyote vina box zake kabisa.Vifaa vina hali gani?
Inawezekana, karibuVipi wakati wa kulipa kodi ya chumba umefika?
Kwani mpya Epson ni shilling ngapi?Habari wana Jamii Forums.
Nauza:
1. Printer Epson L3150 kwa Tshs. 300000.
2. Lamination Machine kwa Tshs. 70000
3. wino wa Epson L3150 full set kwa Tshs. 30000.
Mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0612373688,
ASANTE.
View attachment 2618807View attachment 2618809View attachment 2618810View attachment 2618811