Mkuu mbona picha chache, ingependeza kama picha zingepigwa katika Angle zote na muhimu zaid kwa mbele ya duka najua utasema mtu akitaka aje kiuangalia ila wengine wapo mbali hivo watatumia picha kujiridhisha