fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Ni dhahiri CCM wengi hawakumpenda kabisa
Habari Ya 2019 Leo Yametokea 🕶👓💋Ni dhahiri ccm wengi hawakumpenda kabisa
NimekubaliSio uchawi ni maono mkuu.
Ccm Imepasuka Kama Pazia La HekaruNi dhahiri ccm wengi hawakumpenda kabisa
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Ccm Imepasuka Kama Pazia La Hekaru
We jamaa khakuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
nini maana ya neno makuu?Mara nyingi viongozi wapenda makuu, makuu huwakuta pia. The law of nature.
Aloooookuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Unasema?Ndoto za mchana
Yametimia mkuu...Mungu amekuwa Mwema kwanWatanzania....nikupe pole tenaNakukumbusha tu
Kuna nyuzi sio poa kuzisoma usiku yaan nimecheeeka sanaunaweza kutupa jina la movie tuangalie wote 😋😋
Njoo mkuuHuu uzi Mungu akiniweka 2025 ntakument kwa aya tano
Masikini JPM polisi walimuacha solombe akasepaJpm anategemea Polisi na Usalama wa taifa.
Hahahahaa...shusha aya hizo mkuuHuu uzi Mungu akiniweka 2025 ntakument kwa aya tano
Sawa mkuuDUA YA MWEWE HAIMPATI MWEWE.ENDELEA KU-WISH,ATAMALIZA MIAKA YAKE KUMI.
Haya ngoja tuusubiri huo mwisho😂