Nauona mwisho wa CCM

Nauona mwisho wa CCM

CCM huenda bado inapendwa, haina haja kuogopa ushindani wa kweli kwanini isijipime?
Halafu nchi iangukie mikononi mwa chama gani mkuu? Litizame hilo pia usitizame tu kuiondoa ccm madarakani.
 
Natamani mambo mabaya,mungu apishe mbali,na anisamehe kwa haya mawazo yangu ya hivyo,lkn kwa sababu ya hari ninayoiona na mwelekeo wa nchi yetu.NATAMANI JESHI LICHUKUE NCHI,NA BAADA YA KUCHUKUA NCHI JESHI LIFANYE MAAMUZI MAGUMU,KUNA KIKUNDI KIDOGO CHA WANASIASA MAFISADI AMBAO NI MAWAKALA WA WAFANYABIASHARA NA MAKAMPUNI YA NJE,HAWA WANAAMINI TANZANIA NI MALI YAO,
 
Halafu nchi iangukie mikononi mwa chama gani mkuu? Litizame hilo pia usitizame tu kuiondoa ccm madarakani.
Tatizo lako ni IQ hafifu kweni sisiem imeandikiwa na daktari itutawale?
 
Shida sisi wananchi tuna maneno mengi sana hasa mitandaoni,lakini hatuna maamuzi juu ya nchi yetu,tunafarijiana tu humu,tunakosoana tu humu lakini mwisho wa siku hoja zetu zinaishia humu,wananchi ndo wenye maamuzi juu ya mstakabali wa nchi yetu,mfano kama wamekataa kutupatia katiba mpya,kwa nini tusisusie chaguzi? Kwani huwa tunalazimishwa kwenda kupiga kura? Wananchi wote tususe ijulikane tu wameingia madarakani pasipo uhalali,tuache kuwaimbia mapambio hasa wanapokuja majukwaani kujinasibu kuwa wamamefanya haya,kumbe wezi wakubwa wanafaidisha familia zao na kutaacha sisi tukiteseka mtaani!
Angalia sasa hivi humu mitandaoni watu wanamshambulia mtu mmoja tu na ambaye ameshakufa hivyo hata kuendelea kumsema haisadii lolote,lakini cha kushangaza zaidi ni jinsi anavyosemwa huyo Marehemu utadhani kwamba kabla yake mambo yalikuwa sawa katika hii nchi kwamba yeye tu ndio aliharibu kila kitu.
 
Kama haya yooote yalitokea yet tukajenga miradi ya trillions then undeestand the guy is smart!

Hata mfanye vipi hamwezi kuondoa legacy yake
Legacy will not be removed by mortals but reality..
 
Blaza K sijui kakimbilia wapi
Jilani,ifikie kipindi tuwe wakweli,hata km jpm aliyagusa masirahi yetu,lkn ukweli ni kuwa jpm alikuwa ni mazalendo wa kweli,na hiki ndicho kilifanya mkamchukia,angekuwa kipigaji,mpk leo mngekuwa mnashangilia,mwisho wa yoote,mema ya jpm hamwezi kuyazika kwa kuanzisha propaganda za kumchafua
 
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.

Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Magufuli na serikali yake walikuwa hallmark ya ufisadi Tanzania
 
Tatizo lako ni IQ hafifu kweni sisiem imeandikiwa na daktari itutawale?
Hapana, sio kwamba nataka ccm iendelee kutawala bali nataka tutafakari kwamba tufanye ndio tushaitoa ccm je ni chama gani tunadhani tunaweza kukipa nchi iongoze? Kwa sababu lengo ni kuondoa tatizo na si kubadili chama tu hivyo ni muhimu kutafakari hili.
 
Hata tukianza na Serikali ya Mseto kwanza ili tuaminiane
 
Kwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
Ni kuwa furusha tu
 
Mwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..
Tuzidi kupaza sauti ili walioshupaza shingo angalau wazilegeze tupatiwe nafasi ya kurejea kwenye mchakato wa katiba mpya.
 
CCM huenda bado inapendwa, haina haja kuogopa ushindani wa kweli kwanini isijipime?
Tatizo lilikuwa kwa mwenyekiti wao kuogopa ushindani sana.

Kumbuka kuwa alikuwa analazimisha kupendwa
 
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.

Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Hivi haiwezekani mtu kama Kigwangala akawajibishwa kwa huo utovu wa nidhamu ya matumizi ya rasilimali fedha za walipa kodi?
 
Bila katiba mpya wananchi tususie chaguzi zijazo mpaka maombi yetu yakubaliwe!
Wazo zuri sana pia ingawa kuna vyama picha wa ccm kina Lipumba na lyatonga wapo tayari kutumika kama mihuri ya kuhalalisha huo UCHAFUZI.
 
Back
Top Bottom