abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,422
- 2,301
Mwisho wa ccm utamalizwa na nguvu ya umaMwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app

Viongozi bora watatoka CCM tu siku zote, Usiku mwema