Nauona mwisho wa CCM

Nauona mwisho wa CCM

Hapa umejaribu kugusia vitu vimavyoweza kuingusha CCM.

Bado hujataja vizuri sababu zinazoiweka CCM madarakani. Na hizi ndizo zitaiondoa

ccm imeshapita stage ya kuitwa chama cha siasa, CCM inatambulika kama taasisi na sio chama cha siasa, kimeshaivamia serikali so serikali iko chini ya ccm not vice verse, sasa wewe subiria izo reasons zako for the next 60 years
 
Kwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
 
Kwa haya yanayofanywa na ccm waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
Mwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..
 
Kwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
Kama sio kuchafua uchaguzi mkuu uliopita leo ccm ingekuwa marehemu hayati siku nyingi sana
 
CCM huenda bado inapendwa, haina haja kuogopa ushindani wa kweli kwanini isijipime?
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.

Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
 
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi...
Kama haya yooote yalitokea yet tukajenga miradi ya trillions then undeestand the guy is smart!

Hata mfanye vipi hamwezi kuondoa legacy yake
 
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.

Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Inasikitisha sana.

Yaani sisi watoto wa maskini hatujaajiliwa kisa serikali haina pesa,kumbe wanakula wao na familia zao!!!!

Let God pay again.
 
Shida sisi wananchi tuna maneno mengi sana hasa mitandaoni,lakini hatuna maamuzi juu ya nchi yetu,tunafarijiana tu humu,tunakosoana tu humu lakini mwisho wa siku hoja zetu zinaishia humu,wananchi ndo wenye maamuzi juu ya mstakabali wa nchi yetu,mfano kama wamekataa kutupatia katiba mpya,kwa nini tusisusie chaguzi? Kwani huwa tunalazimishwa kwenda kupiga kura? Wananchi wote tususe ijulikane tu wameingia madarakani pasipo uhalali,tuache kuwaimbia mapambio hasa wanapokuja majukwaani kujinasibu kuwa wamamefanya haya,kumbe wezi wakubwa wanafaidisha familia zao na kutaacha sisi tukiteseka mtaani!
 
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.

Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Ndio maana,pesa inakusanywa na bado tunakopa.Hii ni picha ya kihindi
 
Kama haya yooote yalitokea yet tukajenga miradi ya trillions then undeestand the guy is smart!

Hata mfanye vipi hamwezi kuondoa legacy yake
Hiyo ndo ilikuwa style ya kupiga hela ya mwendazake,anachota hela hazina bila kusign,ananunua ndege bila kutuonyesha risiti,chenchi anaichikichia.

Na hii style alijifunzia kwa mkapa wakati yeye akiwa waziri,mashirika yote yaliuzwa kinyemela kwa ssbabu humo ndo alikuwa anapatia 10n %yake,akauza mpaka mashirika yaliyokuwa yanajiendesha kwa faida,mwisho Wa siku majengo yamegeuzwa godowns.

Tuchukulie mfano 1.5 trillion hazionekani zimetumikaje,sawa miradi imefanyika kweli ila katika hizo hela 1.5 ye hata akichota bill 100 nyie mtajuaje maana matumizi ya hizo hela nani anakagua?.
 
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.

Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.

18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.

Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
hatari sana
 
Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
 
Kwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
CCM huwezi kuitoa madarakani kwa hii tume ya akina Mahera
 
Back
Top Bottom