Naumia sana; nifanyeje?

Naumia sana; nifanyeje?

pole sema unahutaji muda cos kila kitu kinaisha kutokana na muda, sasa cha kufanya cha kwanza nikitu ambacho wengi huwa wanaambiwa lakni hawafanyi, Uwe unafanya maombi special kwa ajili ya hio hali omba kwa iman utaona changes, mbili, chukulia hio hali kama ndio njia ya kujenga uchumi wako i mean anzisha miradi ambayo itakukipu bize muda wote miradi miwili mitatu au zaidi, unakua na masaiti ambako unakua unashinda ili ubongo wako usiwe free sana, la mwisho unaomba sasa(kwa iman, waebrania 11:6) kupata mwenza wako wa ukweli, ngoja nikupe mistari utakoyo itumia wakati wa maombi kupata mweza wa ukweli maana huyo hakua kwa ajili yako so usimforce Mungu akuletee majanga wacha akupe alie kuchagulia yeye na huyo mwenza atatoka katika vitabu hivi, Mithali 10:24, 8:22, Zaburi 37:5, ubarikiwe, usiache mtu yeyote aishi maisha yako
 
Ndio nilitaraji hivi kuwa nitasahahu ila miaka hiyo ikapita. Namwomba sana Mungu hata kabla ya haya yote na sijaacha.

Jaribu kutafuta makosa yake; capitalize on them. Futa mazuri na good times mlizospend ili uweze mchukia. Mind you, kitendo cha kukuambia kuhusu ndoa yake; lengo lake ni kukuumiza na amefanikiwa maana unaumia.
So does he worthy ur cry?
 
Hujui tu!
Anayetegemea uumie kwa matendo yake ukiumia ni raha mfano hakuna!
Unaruhusuje mtu akuumize Jana Leo na hata Milele?
Wakati mwingine ubinafsi ni philosophy nzuri sana!
Hutuacha tukiwa salama kwenye makitu kama haya!
Nafsi yako ina thamani sana,sijui kwanini unaitoa kafara kwa ajili ya ridhiko la mtu mwingine!
 
kwani wewe uko singular
tatiana?.. afu id yako inanikumbusha big brother enzi zile... tatiana na
richard fvcking..

we mtu una fujo.. hahaaaaaa!
yani katika yote umekumbuka hilo neno la mwisho tu?
 
Habari zenu wana MMU!
Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa la kweli). Siku moja( miaka ishapita sasa) nikakutana na a friend sehemu. Tulikutana kwa nia njema ili anikabidhi hela flani sema akachelewa kufika ikapelekea mimi kusubiri hapo mpaka giza. Anyways jamaa alikuja akanikabidhi mzigo huo, kila mmoja akamalizia kinywaji chake na kila mtu akaenda na njia zake. Bahati mbaya sana siku hii hii kuna mtu wa karibu wa huyo bf wangu aliniona( ndio alivyonambia) lakini ms aliyopeleka kwa mshikaji ni kwamba nipikuwa mahala pale na sugadaddy ambaye tulikuwa tukipapasana hadharani na mwisho wa siku tukaondoka na gari lake. Dah hii ilinistua haswa sababu kweli nilikwenda mahala pale na siwezagi kusema uongo. Nilijitajidi kumweleza jamaa hakunielewa sanasana akanitusi sana na kunambia tayari ana mtu na kwamba mi nayeye basi. Niliumia sana sababu kama ilipaswa tuachane basi ningependa yaishe kwa jinsi ya tofauti. Nami nikaona haviwezekani nikakubali yaishe na mawasiliano nikakata.

Anyhow habari yenyewe ni hii...juzi kati hapa kanitumia ms kuwa anaoa na kwamba angependa nishiriki. Niliumia sana ikabidi kuonana hadi na wachungaji nipate maombi na faraja. Niliumia mno zaidi ya kipindi alichoniacha ambapo ni zaidi ya mwaka na nusu sasa. Nakosa raha sana, ninapatwa baridi, hata sielewi naumwa wapi ila naumwa tuu dah! Najikuta nipo kazini sana zaidi ya muda wa kazi hadi weekend nakuwa huko. Hili nashindwa elezea marafiki zangu sababu naona watanipa habari za 'haikuwa mpango wa Mungu', 'subiri wako yupo' etc.Nimeshafikiria hadi kuhama nchi ila kikwazo ni fedha tu. Nafikiri muda wote nilitaraji jamaa angerudi kwangu lakini doh! Salaleee huyu si wangu milele maana sote wakristo. Nishaurini wana jamvi nifanyeje?

I have been there so I know wat ur feeling pole sana jitahis kusocialize na watu usipende kukaa mwenyewe
 
likuepukalo linakher kwako. chapa lapa na aliyekwambia umezaliwa kwaajili yake2 huyo? do u know ur destiny? fungua ukurasa mwingine maisha yaendelee wanaume wapo weng. hajagan yakulazimisha nyekundu iwe blue!
 
mim mbona nakuona mwanamke ulietimia kila idara unavutia machon kwa wanaume weng2.! ucjipe jakamoyo nakujiweka rohojuu kwa aliekuwa cyo wako. tena ikibidi mpotezee hata mawacliano na wala ucende ktk harus yake. nan amekwambia huwez kusahau yaliyopita? tafuta faraja sehem nyingine maisha yaendelee kwan sis sote ha2jui yajayo na lin 2tatendwa
 
Habari zenu wana MMU!
Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa la kweli). Siku moja( miaka ishapita sasa) nikakutana na a friend sehemu. Tulikutana kwa nia njema ili anikabidhi hela flani sema akachelewa kufika ikapelekea mimi kusubiri hapo mpaka giza. Anyways jamaa alikuja akanikabidhi mzigo huo, kila mmoja akamalizia kinywaji chake na kila mtu akaenda na njia zake. Bahati mbaya sana siku hii hii kuna mtu wa karibu wa huyo bf wangu aliniona( ndio alivyonambia) lakini ms aliyopeleka kwa mshikaji ni kwamba nipikuwa mahala pale na sugadaddy ambaye tulikuwa tukipapasana hadharani na mwisho wa siku tukaondoka na gari lake. Dah hii ilinistua haswa sababu kweli nilikwenda mahala pale na siwezagi kusema uongo. Nilijitajidi kumweleza jamaa hakunielewa sanasana akanitusi sana na kunambia tayari ana mtu na kwamba mi nayeye basi. Niliumia sana sababu kama ilipaswa tuachane basi ningependa yaishe kwa jinsi ya tofauti. Nami nikaona haviwezekani nikakubali yaishe na mawasiliano nikakata.

Anyhow habari yenyewe ni hii...juzi kati hapa kanitumia ms kuwa anaoa na kwamba angependa nishiriki. Niliumia sana ikabidi kuonana hadi na wachungaji nipate maombi na faraja. Niliumia mno zaidi ya kipindi alichoniacha ambapo ni zaidi ya mwaka na nusu sasa. Nakosa raha sana, ninapatwa baridi, hata sielewi naumwa wapi ila naumwa tuu dah! Najikuta nipo kazini sana zaidi ya muda wa kazi hadi weekend nakuwa huko. Hili nashindwa elezea marafiki zangu sababu naona watanipa habari za 'haikuwa mpango wa Mungu', 'subiri wako yupo' etc.Nimeshafikiria hadi kuhama nchi ila kikwazo ni fedha tu. Nafikiri muda wote nilitaraji jamaa angerudi kwangu lakini doh! Salaleee huyu si wangu milele maana sote wakristo. Nishaurini wana jamvi nifanyeje?

Huyo alishakuchoka, aliamua tu kukuacha, ndio maana alianza vurugu. Anza mbele wengi yashatukuta.
 
Asee poleee,Just let go; Jua kuwa kama ulimpata huyo basi unaweza kumpata mwingine atakaekufaa tena akakupenda zaidi ya huyo! najua ni ngumu lakini mapenzi sio GEREZA bana ni UHURU! usijifunge kwa kudhani huwezi ishi kisa huyo mwanaume anaoa,jaribu kuutuliza moyo kisha jiangalie wewe! fanya maamuzi yanayo kupa furaha; jaribu kujiweka ktk mtazamo wa kwamba kuna mpenzi wako mwingine wa kweli mbali na huyo! your true love will come for you,hold on....!
 
we mtu una fujo.. hahaaaaaa!
yani katika yote umekumbuka hilo neno la mwisho tu?
hahahaaaa!! mi napenda zile scene muhimu muhimu tu yani... richard na tatiana walikuwa wananivutia sana enzi zao..!

mapenzi yao yalikuwa real, kama ni sex basi wana-fvck kweli kweli....

nina video yao moja matata sana kwene local disc d yangu... ! wanajua sana kuzungushana na kukata mauno kiukweli
 
Pole...jaribu kubadili jinsi unavyoishi itakusaidia sana.

Nakubaliana na ushauri wa kubadili jinsi unavyoishi. Na mi naenda mbali zaidi, badili dini, kuwa mwislam ili uolewe kama mke mdogo.
 
pole sana kwa yaliyo kusibu mrembo..
cha muhim cool down kwanza maana inaelekea una speed saana ya kumaliza hili swala..
kikubwa tambua kwamba limeshatokea na kubaliana na matokeo..kama ameshafikia hatua ya kuoa jua kashagive up na wewe na hauna thaman tena maisha mwake..
pia waweza badilisha mfumo wa maisha na jiamin na kujiheahim maana wanaume wako weng huwez kukosa wa kukuoa kama una maadili mazuri..
pia iwe fundisho yaan ukiwa kweny deep relationship usikubal kujiingiza kweny mazingira ambayo mwenzio kwa namna yeyote atahis una mdanganya..
mwisho huyo jamaa ako inaelekea uwezo wake wa akil na wakhpambanua mambo ni mdogo maana kuambiwa tuu kua wewe unatoka na mbaba flan sio kigezo cha kukuacha ila angetakiwa kufanya uchunguz yeye kama yeye na sio kuambiwa kwa hiyo hakufai atakuja kukupa shida huko mbeleni..
asante.....
"uyo jamaa ako inaelekea uwezo wake wa akil na wakhpambanua mambo ni mdogo maana kuambiwa tuu kua wewe unatoka na mbaba flan sio kigezo cha kukuacha ila angetakiwa kufanya uchunguz yeye kama yeye na sio kuambiwa kwa hiyo hakufai atakuja kukupa shida huko mbeleni..
asante....."
UMEONA EEH NIMEPENDA HIYO, Mamaa dont be stressed na watu walio na maamuzi kama ya mwenye, damn gal u shud be celebrating that kapita hivi kwa sababu ya kipuuz kisa kaambiwa na kuamini, or unjue alikua hajakupenda kiiivyo, huko alikoenda siku moja atakuja kwambia he is sorry kwa kufanya huo uamuz, dont torture ursels dear... n never give up coz hata Mungu anaona kama u were faithful kwake... achana nae asikubabaishe akili.
 
Pole sana jamani umeandika kwa uchungu sana.
Karibu chama la mabachelor.
Hivo vya kawaida sana within time mambo yatakua sawa.

VIVA chama kubwa la Ma bachelorette......

Ni upepo tu utapita, hivi ujue nakusubiri pasaka eeeh!!!
 
pole sana kwa yaliyo kusibu mrembo..
cha muhim cool down kwanza maana inaelekea una speed saana ya kumaliza hili swala..
kikubwa tambua kwamba limeshatokea na kubaliana na matokeo..kama ameshafikia hatua ya kuoa jua kashagive up na wewe na hauna thaman tena maisha mwake..
pia waweza badilisha mfumo wa maisha na jiamin na kujiheahim maana wanaume wako weng huwez kukosa wa kukuoa kama una maadili mazuri..
pia iwe fundisho yaan ukiwa kweny deep relationship usikubal kujiingiza kweny mazingira ambayo mwenzio kwa namna yeyote atahis una mdanganya..
mwisho huyo jamaa ako inaelekea uwezo wake wa akil na wakhpambanua mambo ni mdogo maana kuambiwa tuu kua wewe unatoka na mbaba flan sio kigezo cha kukuacha ila angetakiwa kufanya uchunguz yeye kama yeye na sio kuambiwa kwa hiyo hakufai atakuja kukupa shida huko mbeleni..
asante.....
"uyo jamaa ako inaelekea uwezo wake wa akil na wakhpambanua mambo ni mdogo maana kuambiwa tuu kua wewe unatoka na mbaba flan sio kigezo cha kukuacha ila angetakiwa kufanya uchunguz yeye kama yeye na sio kuambiwa kwa hiyo hakufai atakuja kukupa shida huko mbeleni..
asante....."

UMEONA EEH NIMEPENDA HIYO, Mamaa dont be stressed na watu walio na maamuzi kama ya mwewe, damn gal u shud be celebrating that kapita hivi kwa sababu ya kipuuz kisa kaambiwa na kuamini, or ujue alikua hajakupenda kiiivyo, huko alikoenda siku moja atakuja kwambia he is sorry kwa kufanya huo uamuz, dont torture urself dear... n never give up coz hata Mungu anaona kama u were faithful kwake... achana nae asikubabaishe akili.:smile-big:
 
masuala ya kuumizana kwa makusudi siyo mazuri

ingawa hii stori ni one side
 
Back
Top Bottom