kwa hio anataka uendekwenye harusi yake ama vipi?![]()
pleasego there, utaishia
huku wenzio waki
!!!![]()
kitendo chawako, ni dhahiri kuwa alidhamiria kukuacha makusudi ili akaoe kwingine...![]()
usishangae ukienda huko ukaishia......![]()
Pole dear. Haya mambo yapo tu but you have to accept the reality and move on.
Heaven on Earth wewe!! Nimeumia Sana.Kuachwa kuachwa kuachwa ni kubaya sana
wewe unakonda mwenzio ananenepa.................
Heaven on Earth wewe!! Nimeumia Sana.
Mhh Itikadi Yao Imtulia Je?ya Ccm Ni Ipi Kwa Sasa?
Habari zenu wana MMU!
Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa la kweli). Siku moja( miaka ishapita sasa) nikakutana na a friend sehemu. Tulikutana kwa nia njema ili anikabidhi hela flani sema akachelewa kufika ikapelekea mimi kusubiri hapo mpaka giza. Anyways jamaa alikuja akanikabidhi mzigo huo, kila mmoja akamalizia kinywaji chake na kila mtu akaenda na njia zake. Bahati mbaya sana siku hii hii kuna mtu wa karibu wa huyo bf wangu aliniona( ndio alivyonambia) lakini ms aliyopeleka kwa mshikaji ni kwamba nipikuwa mahala pale na sugadaddy ambaye tulikuwa tukipapasana hadharani na mwisho wa siku tukaondoka na gari lake. Dah hii ilinistua haswa sababu kweli nilikwenda mahala pale na siwezagi kusema uongo. Nilijitajidi kumweleza jamaa hakunielewa sanasana akanitusi sana na kunambia tayari ana mtu na kwamba mi nayeye basi. Niliumia sana sababu kama ilipaswa tuachane basi ningependa yaishe kwa jinsi ya tofauti. Nami nikaona haviwezekani nikakubali yaishe na mawasiliano nikakata.
Anyhow habari yenyewe ni hii...juzi kati hapa kanitumia ms kuwa anaoa na kwamba angependa nishiriki. Niliumia sana ikabidi kuonana hadi na wachungaji nipate maombi na faraja. Niliumia mno zaidi ya kipindi alichoniacha ambapo ni zaidi ya mwaka na nusu sasa. Nakosa raha sana, ninapatwa baridi, hata sielewi naumwa wapi ila naumwa tuu dah! Najikuta nipo kazini sana zaidi ya muda wa kazi hadi weekend nakuwa huko. Hili nashindwa elezea marafiki zangu sababu naona watanipa habari za 'haikuwa mpango wa Mungu', 'subiri wako yupo' etc.Nimeshafikiria hadi kuhama nchi ila kikwazo ni fedha tu. Nafikiri muda wote nilitaraji jamaa angerudi kwangu lakini doh! Salaleee huyu si wangu milele maana sote wakristo. Nishaurini wana jamvi nifanyeje?
If you let past loves rule your future then you will never live anywhere but in the bubble made of the former pain and you will live there alone
Nitakushauri nikipata muda, nadhani uliomba ushauri hukuomba kupewa pole...kama wengi wanavyofanya hapa! Niko kwa mobile nikitulia nitakushauri ufarijike ILA hakuna haja ya kutafuta "mfariji mtaabishaji" kwa sasa
Habari zenu wana MMU!
Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa la kweli). Siku moja( miaka ishapita sasa) nikakutana na a friend sehemu. Tulikutana kwa nia njema ili anikabidhi hela flani sema akachelewa kufika ikapelekea mimi kusubiri hapo mpaka giza. Anyways jamaa alikuja akanikabidhi mzigo huo, kila mmoja akamalizia kinywaji chake na kila mtu akaenda na njia zake. Bahati mbaya sana siku hii hii kuna mtu wa karibu wa huyo bf wangu aliniona( ndio alivyonambia) lakini ms aliyopeleka kwa mshikaji ni kwamba nipikuwa mahala pale na sugadaddy ambaye tulikuwa tukipapasana hadharani na mwisho wa siku tukaondoka na gari lake. Dah hii ilinistua haswa sababu kweli nilikwenda mahala pale na siwezagi kusema uongo. Nilijitajidi kumweleza jamaa hakunielewa sanasana akanitusi sana na kunambia tayari ana mtu na kwamba mi nayeye basi. Niliumia sana sababu kama ilipaswa tuachane basi ningependa yaishe kwa jinsi ya tofauti. Nami nikaona haviwezekani nikakubali yaishe na mawasiliano nikakata.
Anyhow habari yenyewe ni hii...juzi kati hapa kanitumia ms kuwa anaoa na kwamba angependa nishiriki. Niliumia sana ikabidi kuonana hadi na wachungaji nipate maombi na faraja. Niliumia mno zaidi ya kipindi alichoniacha ambapo ni zaidi ya mwaka na nusu sasa. Nakosa raha sana, ninapatwa baridi, hata sielewi naumwa wapi ila naumwa tuu dah! Najikuta nipo kazini sana zaidi ya muda wa kazi hadi weekend nakuwa huko. Hili nashindwa elezea marafiki zangu sababu naona watanipa habari za 'haikuwa mpango wa Mungu', 'subiri wako yupo' etc.Nimeshafikiria hadi kuhama nchi ila kikwazo ni fedha tu. Nafikiri muda wote nilitaraji jamaa angerudi kwangu lakini doh! Salaleee huyu si wangu milele maana sote wakristo. Nishaurini wana jamvi nifanyeje?
Be strong bhana,yaache yapite,utampata wa ukweli vuta subira wangu....
Nilimjibu ms yake nikampongeza na kumtakia kila lakheri. Pia nikamwambia sitoshiriki. Sikumtukana maana hata siwezi kutukana sina pa kuanzia. Ila siwezi shiriki kabisa harusi ya ex wangu.LOVE WITH A GAPE. Usilalie mlalo wa ukuta. Je mvua zikizidi si utaanguka na huo ukuta? Haya kaondoka, weye huli, hulali ati nimeachwa! We wa kwanza? Amka uangaze weye mwanamke. Hajaondoka na chako wala hakukuachia chake, shida iko wapi? Mjibu vizuri tu kuwa weye upo tu, ya kale hayanukii.
Mwambie bado moyo wako upo wazi kwake. Akijichokea huko aje tu ila akikuta mwingine kwako asiumie. Ngoma droo hiyo.
Kila kitu kinatokea kwa makusudi, we tulia endelea kumwomba Mungu utamsahau na maisha yataenda