Naumia sana; nifanyeje?

Naumia sana; nifanyeje?

Pole sana mkuu, nimeumia sana na mistari yako,..Mungu akupe nguvu na imani, utapata atakaye kufaa. Epuka kufikiri kuhusu jamaa, fanya maisha yako ye kashafanya yake.
 
kwahiyo mwaka na nusu toka muachane mpaka leo hujapata tu mwingine au hukutaka kuingia tena kwenye mahusiano mengine ulikuwa unangoja akurudie? Pole sana
 
Mapenz yanauma jamani lkn unapaswa kujua hukupangiwa na mungu kusikia tu na hajaona haikutosha yy kukuacha angekuwa na mapenz ya dhati angeenda mbali zaidi lipo mungu alilokuepusha nalo mshukuru mungu wk ndoa hailazimishwi wala huna sababu yakumia roho badilika fanya kazi pendeza sana ucmpe nafas akajua unamuwaza yy jenga mazingira ht mkikutana akuone tofauti wala usimtafute et umweleze hisia zako atajiproud sana na itakuuma potezea kwani yy mungu angekufa je usingeolewa hesabu kama mfu tu hiyo harus yk kama card pokea toa dharura kwa upendo mpk ashangae kwann lkn unampa nafas akumize yy amekuwa nani utapata mwengine
 
Jaribu kutafuta makosa yake; capitalize on them. Futa mazuri na good times mlizospend ili uweze mchukia. Mind you, kitendo cha kukuambia kuhusu ndoa yake; lengo lake ni kukuumiza na amefanikiwa maana unaumia.
So does he worthy ur cry?

Huwez kuamin nilipoona huu uzi chakwanza nikakukumbua wewe na hii principal yako,bahati nzuri na kukuta ushapost.nafkiri umemalizia vizuri sana.Kitu pekee ninachomuhakikishia huyu dada huyu jamaa hampendi na apige moyo konde amsubirie mtu atakaye mtreat yy like a queen
 
hahahaaaa!! mi napenda zile scene muhimu muhimu tu yani... richard na tatiana walikuwa wananivutia sana enzi zao..!

mapenzi yao yalikuwa real, kama ni sex basi wana-fvck kweli kweli....

nina video yao moja matata sana kwene local disc d yangu... ! wanajua sana kuzungushana na kukata mauno kiukweli

itabidi unitumie kwa email hiyo kaka....
 
pole sana, shukuru Mungu kwa yote na amini wako aliyekuandalia yuko njiani
 
Ushauri huu sio kwako tu,na kwa vokom vokom wengine..; Ukiwa na mpenzi wako,hakikisha kila mara unakuwa karibu nae kimawasiliano,ukitoka jaribu kumwambia wapi unakwenda,kufanya nini na nani.Aidha,jaribu kumuomba kama anaweza basi mwende wote na kama hawezi au haiwezekani kwenda naye,u just keep on updating ur venue. Tatizo la vokom wa siku hizi bana,wanaweza kuwapanga bila hata kujua.Yani hakuna demu mwaminifu 100% aisee,sijui akishaolewa. Me naamini,huyo hakuwa jamaa tu,lazma alikuwa mtu wako,so acha ufaidi adhabu ya Uhuni
 
unatakiwa ubadilike na kumwacha aende.Jifunze kusahau na kufanya maisha yaendelee hkn sehemu iliyoandikwa kwa alikua wako au atakuwa wako daima...move on ila pole
 
Nilimjibu ms yake nikampongeza na kumtakia kila lakheri. Pia nikamwambia sitoshiriki. Sikumtukana maana hata siwezi kutukana sina pa kuanzia. Ila siwezi shiriki kabisa harusi ya ex wangu.

Evagrace;
Usirudie tena kosa ka hilo. Kumwambia ati hutoshiriki alijisikia swafiiiii. Akajua amekuumiza kisawa sawa. Ungemjibu tu Ahsante sana na nakutakia baraka tele. Upate watoi wa kike na kiume, mwishoni unambeep kuwa, mavi ya kale hayanukii, ukijisikia kupoozeshwa, bado nafasi iko wazi ila ukikuta mwingine usichukie.
Anabaki kwenye dilemma kuwa, huyu vipi? Nilidhani atafadhaika kumbe..
 
Huwez kuamin nilipoona huu uzi chakwanza nikakukumbua wewe na hii principal yako,bahati nzuri na kukuta ushapost.nafkiri umemalizia vizuri sana.Kitu pekee ninachomuhakikishia huyu dada huyu jamaa hampendi na apige moyo konde amsubirie mtu
atakaye mtreat yy like a queen

Kumbe asili yangu sio siri.
Inasaidia sana, maana ukidwell kwenye kumbukumbu nzuri basi utazidi nyong'onyea lkn ukikazia mapungufu yake then unapata sababu ya kumchukia na mwisho unasema "good riddance".
 
Habari zenu wana MMU!
Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa la kweli). Siku moja( miaka ishapita sasa) nikakutana na a friend sehemu. Tulikutana kwa nia njema ili anikabidhi hela flani sema akachelewa kufika ikapelekea mimi kusubiri hapo mpaka giza. Anyways jamaa alikuja akanikabidhi mzigo huo, kila mmoja akamalizia kinywaji chake na kila mtu akaenda na njia zake. Bahati mbaya sana siku hii hii kuna mtu wa karibu wa huyo bf wangu aliniona( ndio alivyonambia) lakini ms aliyopeleka kwa mshikaji ni kwamba nipikuwa mahala pale na sugadaddy ambaye tulikuwa tukipapasana hadharani na mwisho wa siku tukaondoka na gari lake. Dah hii ilinistua haswa sababu kweli nilikwenda mahala pale na siwezagi kusema uongo. Nilijitajidi kumweleza jamaa hakunielewa sanasana akanitusi sana na kunambia tayari ana mtu na kwamba mi nayeye basi. Niliumia sana sababu kama ilipaswa tuachane basi ningependa yaishe kwa jinsi ya tofauti. Nami nikaona haviwezekani nikakubali yaishe na mawasiliano nikakata.

Anyhow habari yenyewe ni hii...juzi kati hapa kanitumia ms kuwa anaoa na kwamba angependa nishiriki. Niliumia sana ikabidi kuonana hadi na wachungaji nipate maombi na faraja. Niliumia mno zaidi ya kipindi alichoniacha ambapo ni zaidi ya mwaka na nusu sasa. Nakosa raha sana, ninapatwa baridi, hata sielewi naumwa wapi ila naumwa tuu dah! Najikuta nipo kazini sana zaidi ya muda wa kazi hadi weekend nakuwa huko. Hili nashindwa elezea marafiki zangu sababu naona watanipa habari za 'haikuwa mpango wa Mungu', 'subiri wako yupo' etc.Nimeshafikiria hadi kuhama nchi ila kikwazo ni fedha tu. Nafikiri muda wote nilitaraji jamaa angerudi kwangu lakini doh! Salaleee huyu si wangu milele maana sote wakristo. Nishaurini wana jamvi nifanyeje?
mtafutie mateja yule mshkaji chaumbea wammpe kitu. ..duh im (JK)ila angenikoma. huyo mtu kata nae mawasiliano. .He seems to over owned u. shoga jus be strong. songa mbele huo sio mwisho wa maisha. .maisha ya naendelea na inaekea huyo alikuwa anakucheat yeye na he was looking for a reason. mahusiano bila trust yanin kila siku anakuliza si kitunguu huyo. ..Em shoga angu tulia akili jiambie 'I'm more than his stupid self move on . everything happens for a reason. jus leave dat madafanta who wasn't meant for you.
 
Kwani unataka kuniambia kuwa tangu muachane hujapata hata wa kukupigia mruzi?! kama ndivyo hivyo, basi unastahili maombi tu.
 
Habari zenu wana MMU!
Nilikua na bf wangu tulianza naye mahusiano 2010 bahati mbaya tulikua tukigombana mara nyingi kwasababu yeye alikua anaamini mimi nina michepuko( jambo ambalo halikuwahi kuwa la kweli). Siku moja( miaka ishapita sasa) nikakutana na a friend sehemu. Tulikutana kwa nia njema ili anikabidhi hela flani sema akachelewa kufika ikapelekea mimi kusubiri hapo mpaka giza. Anyways jamaa alikuja akanikabidhi mzigo huo, kila mmoja akamalizia kinywaji chake na kila mtu akaenda na njia zake. Bahati mbaya sana siku hii hii kuna mtu wa karibu wa huyo bf wangu aliniona( ndio alivyonambia) lakini ms aliyopeleka kwa mshikaji ni kwamba nipikuwa mahala pale na sugadaddy ambaye tulikuwa tukipapasana hadharani na mwisho wa siku tukaondoka na gari lake. Dah hii ilinistua haswa sababu kweli nilikwenda mahala pale na siwezagi kusema uongo. Nilijitajidi kumweleza jamaa hakunielewa sanasana akanitusi sana na kunambia tayari ana mtu na kwamba mi nayeye basi. Niliumia sana sababu kama ilipaswa tuachane basi ningependa yaishe kwa jinsi ya tofauti. Nami nikaona haviwezekani nikakubali yaishe na mawasiliano nikakata.

Anyhow habari yenyewe ni hii...juzi kati hapa kanitumia ms kuwa anaoa na kwamba angependa nishiriki. Niliumia sana ikabidi kuonana hadi na wachungaji nipate maombi na faraja. Niliumia mno zaidi ya kipindi alichoniacha ambapo ni zaidi ya mwaka na nusu sasa. Nakosa raha sana, ninapatwa baridi, hata sielewi naumwa wapi ila naumwa tuu dah! Najikuta nipo kazini sana zaidi ya muda wa kazi hadi weekend nakuwa huko. Hili nashindwa elezea marafiki zangu sababu naona watanipa habari za 'haikuwa mpango wa Mungu', 'subiri wako yupo' etc.Nimeshafikiria hadi kuhama nchi ila kikwazo ni fedha tu. Nafikiri muda wote nilitaraji jamaa angerudi kwangu lakini doh! Salaleee huyu si wangu milele maana sote wakristo. Nishaurini wana jamvi nifanyeje?
Pole sana dia, dah dunia hii!, unaweza kusema ya kwangu ni makubwa kumbe kuna watu yaliyo wakuta ni makubwa sana. cha msingi ni kuamini jambo moja alieumbwa kwa ajili yako yupo siku ikifika atakuja na hutokaa umkumbuke ex wako tena. jitahid kuwa na furaha, itengenezee mazingira furaha.. inapobidi furahi kweli kweli. usiwe mwenye hudhuni sana utawafanya hata rafiki zako kukufariji kila mara wakuonapo ktk hali hiyo kitu ambacho kitakufanya usimsahau mapema. Jipe moyo mpendwa ok?
 
Zaidi ya mwaka na nusu bado unamuwaza tu yeye! watu mnajua kupenda sana aisee, Pole sana hebu jaribu kumsahau na ujifanye kama hujawahi kukutana nae hapa duniani
 
nilivyoona heading tu nkazama nimeshaandaa jibu kumbe mambo mengine bhana ah
 
kwa hio anataka uende
danban.gif
kwenye harusi yake ama vipi?

please
nono.gif
go there, utaishia
crying.gif
huku wenzio waki
kiss.gif
!!!

kitendo cha
broken-heart.gif
wako, ni dhahiri kuwa alidhamiria kukuacha makusudi ili akaoe kwingine...

usishangae ukienda huko ukaishia
slapping.gif
......

Hahaaa. We noma!
 
Back
Top Bottom