Nauliza

Nauliza

mh.... itakuwa ndio mara ya kwanza kununua kwa pesa yako...
 
Ni marufuku kunywa kama huna pesa za kunywea.... Alaah....!!!
 
Wewe mwenyewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nani kamwaga pombe yangu?



Hahahahaha,nimejikuta nacheka tu hapa,we si ndio upo hapo na umemuona sasa sisis tutamjuaje wakati hata eneo la tukio hatulijui..??Kwa mfano na mimi nikuulize ile suruali yangu nitakayovaa kesho iko wapi..??
 
Pombe ununue wewe, kumwaga amwage yeye, kuuuliza utuulize sisi...
Mbona majanga.....
 
huku nako kumenishinda ngoja niombe access ya jukwaa la wakubwa labda naweza nikainjoy duuh!
 
Hahahahaha,nimejikuta nacheka tu hapa,we si ndio upo hapo na umemuona sasa sisis tutamjuaje wakati hata eneo la tukio hatulijui..??Kwa mfano na mimi nikuulize ile suruali yangu nitakayovaa kesho iko wapi..??

ile suruali yako si umeisahau huku..!! teh..teh..teh!!!
 
Uliza kinywa chako,mie niliona mkono wako unamwaga hiyo pombe mdomoni kwako.
 
Pombe ununue wewe, kumwaga amwage yeye, kuuuliza utuulize sisi...
Mbona majanga.....

Nimetoka mara moja kwenda toi nikakuta kioja eti kademu na kameni wanatumuaga choo kimoja, inanipa wasiwasi bia yangu imebaki nusu glasi.
 
Back
Top Bottom