Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
hahaha Passion Lady nipo machimboni Mwadui, manake hii habari ya kununua dhahabu feki nimechoka nayo nimeingia mzigoni mwenyewe....mambo yako niaje?
sasa kwani kumpokea shemeji
mzigo wa mahela na madhahabu kuna shida
basi nikupokee wewe bestito!!
sasa kwani kumpokea shemeji
mzigo wa mahela na madhahabu kuna shida
basi nikupokee wewe bestito!!
​nishakuja nipe location!!Nimekusoma katikati ya mistari over....kujamo PM nikupe maelekezo...
Namshangaa Arushaone apo.....hebu muuulize tena Passion Lady
​nishakuja nipe location!!
Hivi amefikisha wangapi wak rekodi za Baba V.....
Kipepeo...hakuna makamera kule....kwa raha zetu:car:
Wewe Nduka ulimaliza bia ukadhani zimemwagwa?
Ngoja mimi, Erickb52, Mr Rocky, Filipo, Passion Lady, PakaJimmy, Mzee wa Rula KOKUTONA, Baba V, Lady doctor na Bishanga tukuongezee zingine.
![]()