Nauliza

Nauliza

Mimi nina hasira wewe unacheka tu, nasema nani kamwaga pombe yangu?



By the time ulipokuwa unatazama huyu mdada wa Kanga Moko, ndipo ulipoimwaga mwenyewe. Mdada mwenyewe si huyu?



399011_264131820351674_56442696_n.jpg
 

hahahaaa!!hivi kumbe hakua na ndevu
na ana mabibi kibao,sasa zimeota si ndio
itakua balaa!!

Alijibemenda mwenyewe huyo kijana Erickb52 tangu akiwa mdogo. Ngoja sasa amekua atajibeba kwani itabidi aongeze wake wengine kwa mujibu wa mila zao kwani hazipishani sana na za Jacob Zuma.
 
Last edited by a moderator:
Alijibemenda mwenyewe huyo kijana Erickb52 tangu akiwa mdogo. Ngoja sasa amekua atajibeba kwani itabidi aongeze wake wengine kwa mujibu wa mila zao kwani hazipishani sana na za Jacob Zuma.

duuuh kweli hii ni hatari
na wanamkira ndio maana kachelewa
kuota vijindevu maskini weee!!
 
Back
Top Bottom