Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

Lowassa ni msafi kuliko yule aliyehonga milioni kumikumi na alipoulizwa juu ya huo uchafu akajibu.."KAMA UMESIKIA TAARIFA YA CHAMA KINGINE,SI UJIUNGE NACHO" poorest logic ever
 
Mtukane na wewe uone
 
Lowassa ni msafi kuliko yule aliyehonga milioni kumikumi na alipoulizwa juu ya huo uchafu akajibu.."KAMA UMESIKIA TAARIFA YA CHAMA KINGINE,SI UJIUNGE NACHO" poorest logic ever

Naona dozi ya Magu imeathiri madili yenu hamna kipato halali nini mbona povu.jingi
 
Lowasa ni mwana wa Mungu,Mtu wa watu, rais wa mioyo yetu na chemchem ya busara isiyokauka.
Ukimtaja tu CCM wanapoteana.
Mkuu mbali na kutoka CCM bado tumkumbuka na tunapenda arudi CCM tutampokea. Tuko pàmoja nae.
 
Mh RC inabidi akamuombe warioba msamaha, ni laana kumpiga mzee, haina tofauti na kula rambi rambi au sadaka.
 
Lowassa angekuwa Rais wa hii Nchi hivi sasa, tusingekuwa kwenye hali ya hivi sasa Nchini.
Pia angetuongoza kwa vision as a LEADER na sio MANAGER.

Mbuzi, ng'ombe nk ndio wanakuwa MANAGED, kwa mfano wakati unapowachunga waingie kwenye zizi lao.
 
Mimi sishabikii wewe weka hiyo orodha ili uwaumbue hao wanaoshabikia kijinga. Ila kama na wewe ni mmoja wao utashindwa kuweka hayo majina maana umeweza kuandika jina LA Lowassa tu.
...Joseph Mungai
 
Na wewe unajiita babu kwa mtizamo huo basi wazee wenye hekima wamekwisha
 
Mh RC inabidi akamuombe warioba msamaha, ni laana kumpiga mzee, haina tofauti na kula rambi rambi au sadaka.

Laana wanayo hao hao walioandika list ya mafisadi papa.

Mbona huwa mnaziba masikio pamba? Lini wamepita kukanusha kuwa ile list of shame ilikuwa mazingaombwe
 
Hao wanaokufa wanakufa kwa uzee wao tu, wapo wengi tu vijana waliosema na wanadunda hadi leo nikiwemo mimi, na sijawahi kuugua ata malaria kwa miaka 10 sasa , usihusishe vifo hivyo na lowasa, ni mungu tu kapenda, siku lowasa akiondoka sijui utasemaje?, ila tambua umaarufu wa lowasa uliletwa na umasikini wenu
 
Mjukuu wangu tangu nimeanza kumjua Lowasa miaka ya 1980 pengine wewe ulikuwa either hujazaliwa ama ndo unazaliwa sijawai kusikia Lowasa kaongoza nchi hii. Hata hivyo nafasi kubwa aliyoshikilia ya uongozi ktk Serikali ni uwaziri mkuu ambao alidumu nao si zaidi ya miaka miwili je amesababishaje umaskini wa Tanzania ikiwa hakuwai kupewa dhamana ya uongozi wa juu kabisa ukilinganisha na JK1, Ruksa, Mzee wa malofa, JK2 na hata sasa Mtumbua majipu.

Je tangu LOWASA atoke kwenye serikali umaskini umepungua? Mjukuu wangu wangoni wanasema Mkomi mkandalile mwana, mpaji mtu mwana.
 
Hapa hakuna ushirikina ni kiasi cha kumlilia Mungu na kumweleza maumivu unayoyapata wanavyokunanga na kumkabidhi mamlaka yake ahukumu kwamba wewe huwezi hukumu
 
Mkuu katika biblia kuna watu walipata mapigo kwa kuwadhihaki wanadamu tu ambao walikuwa watumishi wa Mungu achilia mbali habari ya Yesu.Kimsingi watu walipitiliza waliichukua nafasi ya yule mwenye mamlaka juu ya uhai.Mfano kauli za mama Kwelina Kombania,ndugu yetu dodas masabuni,Mchungaji Mtwikila hata huyu ndugu yetu wa juzi kimsingi walinena vibaya juu ya huyu mtu ambaye kimsingi hakurudisha neno.Unajua heri angekuwa anawarudishia lakini yeye hakuwa anarudisha kwa vyovyote vile lazima mwenye mamlaka juu yetu atasimama amtetee.Kumbuka ni mwaka mmoja tu tangu watu wamnenee hivyo lakini ni namba kubwa ya viongozi hawa waliolala mauti.Kwa vyovyote ninashauri aliyemnenea vibaya hadharani kwenye majukwaa hima akatengeneze naye,Husisubiri yakufike hutokuwa na nafasi ya kutengeneza naye tena huko uendako hakuna shauri.
 
Enyi watanzania ,kwa aliyemtukana Lowassa na amtafute kuomba msamaha,na aonyeshwe kwenye media otherwise ,asubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…