Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

Kila mmoja wetu atambue kuwa uhai uko mikononi mwa Mungu. Waliomsema Lowassa vibaya walikuwa kwenye ufadhili aidha wakuganga vyeo au kutafuta vijisenti. Leo hii wengine wameshaondoka daima duniani. Inawezekana pengine kwa dhihaka zao na matusi waliyo mtukana mja wa mwenyezi Mungu pengine inaweza kuwa wamekufa kwa ajili Mungu amependa owe hivyo. Tusifanye Siasa kuwa uadui tukuwe tukomae kisiasa kama alivyokomaa Lowassa. Leo hii Lowassa kwa ukimya wake amegeuka kuwa lulu kwa watanzania wengi. Ambao walifanya hivyo na bado wapo wanao muda wa kuonyesha ungwana na kuomba msamaha, wafanye hivyo kama nafsi zao kweli zinawasuta. Kuna maisha nje ya siasa.
 
Huyu Mzee sijui ndo amezeeka vizuri sio mtu wakulopaka wala kubishana uwa anapenda kusimama kwnywe ukweli
 
Muulize Didas Masaburi
 
Mi siwezi kufa sababu ya huyo mungu wako lowassa,iwe mwanzo na mwisho kutisha watu upuuzi wako huu,kufa kwangu ni mipango ya ALLAH,sio huyo mwizi wa nchi hii.
Unaongea ova na wewe sio mwizi vile
 
Ukilitaja Lumumba haja ndogo zinawatoka ovyo utafikiri wana fistula.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Me2 Ni mwongo utadhani alishawahi kuwekewa drip ya damu ya Shetani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yesu alitukanwa, Muhammad alitukanwa;kamwe hawakulipiza wala Mungu hakuwaadhibu waliowatukana hawa mitume

kama kuna ukweli kuwa kila anayemsema lowasaa anakufa, basi lazima atakuwa mwana wa shetani na mkuu wa wachawi

Mungu hana tabia za visasi

here comes another question, je angekuwa rais ingekuwaje? si angetaka kuabudiwa?

hakuwa na hatakuwa
 
Niliwazaga hivi hivi wakati watu wanakejeli afya ya huyu Mzee! Wengine wakapiga push up kuonyesha wao wako fit na sio wagonjwa. Au Mkuu umesahau? Wengine walienda mbali hadi wakasema alijisaidia akiwa jukwaan. Mkuu hukumbuki? Mimi nilijisemea afya na kifo sio jambo la kumkejili mtu kabisa! Mzee Sumaye alisimama kutetea afya ya Mh Lowasa kuwa kadri umri unavyosogea na maradhi yanakusogelea ila watu wale waliendelea kumkejeli tu. Mkuu hadi hapa nadhan hutahitaji tena ushahidi lazma utakuwa umekumbuka. Nadhani ndio mana mleta mada alikuja na wazo hili. Ukitaka ushahidi zaidi nitakueleza zaid. Ila nakuunga mkono suala la afya na vifo siyo mambo yakukejeli hiyo yote ni mipango ya Mwenyezi Mungu
 
Wamemkata.
Computer za Forbes hazinyang'aliki kama zile za 1)Ukawa, 2) Za jumuia ya haki za Binaadamu au 3) Umoja wa asasi za Kiraia. Na Pia hakuna Ngumbaru kama Jechu wa Kupewa tuzo na Magugu samahani namaanisha Maguvu ili apewe Umutuz wa Afirika.
 
Mjukuu wangu na uzee naogopa kwenda jela kuna cybercrime law. Unaweza kumjua ni yule kijana alikuwa cdm then akafukuzwa akamfuata msaliti mwenzake kule chigoma
i
Habibu mchange bila shaka
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani hapendekezwi hizo sarakasi hukohuko kwenu Lumumba na msemaji we nu Wa chama aliepata zero form6
 
Hawahitaji faraja wanahitaji pesa.
 
Mjukuu wangu na uzee naogopa kwenda jela kuna cybercrime law. Unaweza kumjua ni yule kijana alikuwa cdm then akafukuzwa akamfuata msaliti mwenzake kule chigoma
Huu upuuzi ndo Lowassa hautaki ndani ya UKAWA

Siasa za matusi, kukashfiana na mihemko.

Bullsh*t
 

Fanya homework kidogo na wewe jiongeze kimya kimya.
FULLSTOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…