Ha! Ha! Ha! Unaambiwa hizo hela za makinikia hata chuma ulete hajawahi kupata .Kama mada inavyojieleza
Rais Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick
Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya, sijui mazungumzo yameishia wapi
Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika
Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa
Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara
Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Tuko bize ikulu kupokea wageni toka Ukawa tukimaliza utapata Balimi zako.Kama mada inavyojieleza
Rais Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick
Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya, sijui mazungumzo yameishia wapi
Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika
Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa
Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara
Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
professorial rubbish-tundu lisu
yuko bize ananunua wapinzanj Leo kamsajiri dk slaa.Kama mada inavyojieleza
Rais Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick
Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya, sijui mazungumzo yameishia wapi
Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika
Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa
Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara
Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Unaishi kwenye ulimwengu gani? Hujasikia kuwa na drealiner ipo njiani kupokonywa huko USA? Watu hawaendi mahakamani kwa kukurupuka. Huna uhakika kama Barrick/Acacia hawataenda mahakamni.waliokuwa wanaleta mbwembwe ktk masuala ya msingi kabisa ya kitaifa, ni wale waliotaka kujiimarisha kisiasa kupitia kazi zinazofanywa na serikali.
Wale waliotishia kwamba tutashitakiwa ktk mahakama za kimataifa, lakini leo imekuwa tofauti na maono yao hasi, na mbwembwe zikapungua.
Hatukufanya sisi, Ali fanya Lubuva.Hivi ni kwa nini tulifanya haya maamuzi Oktoba 25, 2015?
Makinikia ni fundi magari wa jinsia ya kike!!Hiviiii makinikia ndyooo nn??[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]