Nauliza: Mbwembwe za Makinikia zimeishia wapi?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,764
Kama mada inavyojieleza
Rais Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick

Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya, sijui mazungumzo yameishia wapi

Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika

Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa

Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara

Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Hahaha wewe ni whack nini? Kumbe hujui hata mazungumzo yalifikia wapi?
 
unataka nini hasa? Maana mkataba ulishasainiwa tayari na mambo mengine yameishaanza kutekelezwa!
 
Ule ulikuwa wimbo wa Bongo flavor. Umeisha chuja.
Sasa Tusubiri wimbo mwingine. Tutaitwa Ikulu kumsikiliza muongeaji mwenye wingi wa "busara, hekima na maono"

Katika kipindi hiki cha mpito tukisubiri single nyingine, tuwe wavumilivu, watulivu na wapenda amani kama siku zote.
 
Nissan nyeupe iko njiani kukuta hapo ulipo, ww si mzalendo kabisa!

unataka kumaanisha nini kwa hilo swali lako? Haya ndugu, sisi tunapokea "wakosa fursa"kutoka upinzani tuwakate mikia na kuwingiza zizini.....
 
Kama mada inavyojieleza
Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick
Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya,sijui mazungumzo yameishia wapi
Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika
Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa

Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara

Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mkuu, ile movie ilikwisha na haina part 2
 
waliokuwa wanaleta mbwembwe ktk masuala ya msingi kabisa ya kitaifa, ni wale waliotaka kujiimarisha kisiasa kupitia kazi zinazofanywa na serikali.
Wale waliotishia kwamba tutashitakiwa ktk mahakama za kimataifa, lakini leo imekuwa tofauti na maono yao hasi, na mbwembwe zikapungua.
 
Niliposoma thread yako nilidhania niya siku nyingi lakini kumbe imeianzisha dakika chache zilizopita.

You are so behind!
 
Heh! Umeshasahau kuwa mambo yalikamilika??!!!!!!!!
 
Kama mada inavyojieleza
Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick
Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya,sijui mazungumzo yameishia wapi
Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika
Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa

Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara

Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
wazungu c watu wamichezomichezo bhana,chama cha mauaji kimeshapoozwa na kitu kidogo
 
waliokuwa wanaleta mbwembwe ktk masuala ya msingi kabisa ya kitaifa, ni wale waliotaka kujiimarisha kisiasa kupitia kazi zinazofanywa na serikali.
Wale waliotishia kwamba tutashitakiwa ktk mahakama za kimataifa, lakini leo imekuwa tofauti na maono yao hasi, na mbwembwe zikapungua.
Duh, kwahiyo unaona serikali imeshinda! Hivi ukiwa una mdai mtu 1,000,000/= na ukijitapa kifua mbele dunia nzima ikajua, halafu jamaa akakwambia bro ni kweli unanidai ila sio hela hiyo, Mimi nitakupa 7,000/= Utajisifia kwamba nimemuweza? Mnachekesha sana, unless hamjua hesabu ndo mtashabikia issue ya acacia, anyway mpaka Leo ktk hiyo elfu 7 hao acacia washatoa haya sh.10 tu?
 
Back
Top Bottom