Nauliza: Mbwembwe za Makinikia zimeishia wapi?

Nauliza: Mbwembwe za Makinikia zimeishia wapi?

Kama mada inavyojieleza
Rais Magufuli alikuja na mbwembwe kibao kukamata makinikia na kudai matrilioni ya shilingi kutoka kwa Acacia/Barrick

Tukaahidiwa kulipwa kishika uchumba cha bilioni 700
Nashangaa hadi Leo kimya, sijui mazungumzo yameishia wapi

Habari za makinikia zimefutika masikioni mwa watanzania sasa ni habari za bilionea dokta shika

Naskia na ile ndege yetu ya Boeing dreamliner nayo inaviziwa ikamatwe kisa tunadaiwa

Makinikia yameishia wapi jamani au zilikua mbwembwe tu za Sizonje a.k.a mzee kipara kutafuta kiki na tumwone mzalendo kumbe mzalendo uchwara

Ova[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Hiyo ndo ilitakiwa kuwa taarifa kuu kwenye kikao chao, badala yake wanaleta makinikia watu. Wananchi wanastahili kujua hatma ya mazungumzo na makubaliano yao.
 
Back
Top Bottom