"Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni yoyote alipochangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Inawezekana hatua ya katibu mkuu wa CHADEMA,mh.Dr.Slaa, kuwataka wabunge hao wasikubali kuhojiwa ndio sababu?Mbona hakutaja sababu hiyo?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!

Hapo wamewekewa bonge la mtego. Kalagabaho.

Ni very simple, wanapelekewa barua rasmi ya kuitwa kwenye kamati tajwa kama hawajafika wanakumbushwa kama hawajafika tena wanakuwa na makosa mengine zaidi ya hilo la fujo. Hapo walipowekwa hawachomoki, salama yao wakiitwa rasmi kwenye kamati waende.
 
Hapo wamekewa binge la mtego. Kalagabaho.

Umbea mwingine bwana,wewe ndie msemaji wa bunge?
 
Hapo wamekewa binge la mtego. Kalagabaho.

Ni very simple, wanapelekewa barua rasmi ya kuitIwa kwenye kamati tajwa kama hawajafika wanIakumbushwa kama hawajafika tena wanakuwa na makosa mengine zaidi ya hilo la fujo. Hapo walipowekwa hawachomoki, salama yao wakiitwa rasmi kwenye kamati waende.
Ina maana barua ndio ilikuwa kikwazo!Hiyo barua ilikuwa inatoka mbinguni?
 
Huyu Ngwilizi anafanya muendelezo wa scene one pale alipokuja na majibu kuwa wabunge hawakuhusika navitendo vya rushwa wakati wa upitishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madini, pia akasema waziri wa nishati na madini alisema uongo na kumwaga zigo lingine kwa maswi!Leo zigo lote kwa Lisu, hao akina mnyika na nasari nikupotezea tu lakini lengo lao ni kumuadhibu Lisu!
 
Kamati yenyewe inaundwa na wana ccm unategemea nini?

Hawawezi kuwahoji mpaka washughulikie zile rufaa zote juu ya maamuzi ya spika!

Hakuna kipya hapo ni uonevu tu wa spika sikutegemea kipya zadi ya hicho!

Hivi Salary Slip hivi matuzmizi ya neno "ya wabeba " imekaa vipi hapa?
Mkuu nimekuelewa ni nini unacho maanisha.Ila kwakuwa bunge letu linaongozwa na watu mbumbu wangeweza tu kupindisha taratibu na kuwahukumu kibabe.

Hata hivyo,huenda spika amesoma alama za nyakati na akatafuta namna ya kulimaliza hilo jambo.
 
Last edited by a moderator:
unatoa hukumu bila mtuhumiwa kupewa nafasi ya kujitetea ni upuuzi mtupu...!ndio maana tuna jaji ambae hana degree kwakua uzembe unaanzia kwanzia juu mpaka chini.Shame on B kiroboto na yule kilaza wa Kongwa..
 
Hapo wamekewa binge la mtego. Kalagabaho.

Ni very simple, wanapelekewa barua rasmi ya kuitwa kwenye kamati tajwa kama hawajafika wanakumbushwa kama hawajafika tena wanakuwa na makosa mengine zaidi ya hilo la fujo. Hapo walipowekwa hawachomoki, salama yao wakiitwa rasmi kwenye kamati waende.

Let's be objective. Tuweke ushabiski pembeni.

Kama alichosema mleta mada ni kweli, kwa nini kamati husika imetoa ripoti yake kabla ya kuwahoji watuhumiwa?

Katika uchunguzi wao waliowahoji akina nani?

Nilisikia Chadema wakidai kama wabunge wake wakiitwa kuhojiwa, hawataenda kuhojiwa. Je, waliitwa wakakataa?

Kama waliitwa wakakataa, inakuwaje tena spika anasema wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa mpaka wahojiwe?

Kuna umuhimu gani wa kuwatumia barua za kutaka kuwahoji wakati inaonekana wazi kuwa tayari maamuzi yameshafanyika?

Ina maana barua ndio ilikuwa kikwazo!Hiyo barua ilikuwa inatoka mbinguni?

Huo ni mtazamo wangu, ukipenda pokea ukipenda uwache, wala si kitu cha kubishana.

Sikujuwa kama siku hizi mnaletwa barua kutoka mbinguni. Una udugu na "babu" wa kikombe?
 
Hiyo kamati imelipwa hela au ilifanya kazi kwa kujitolea?!
 
Sasa wamewakuta vipi na hatia wakati wanakiri upande wawalalamikiwa haukusikilizwa?
"Wamewakuta na hatia, ila hatua zitachukuliwa mara baada ya kuwahoji" mbona najionea vikaragosi tu hapa vya kuvunja mbavu! Sasa..! Inakuwaje hapa? Maana ni mauza uza tu?
 
Let's be objective. Tuweke ushabiski pembeni.

Kama alichosema mleta mada ni kweli, kwa nini kamati husika imetoa ripoti yake kabla ya kuwahoji watuhumiwa?

Katika uchunguzi wao waliowahoji akina nani?

Nilisikia Chadema wakidai kama wabunge wake wakiitwa kuhojiwa, hawataenda kuhojiwa. Je, waliitwa wakakataa?

Kama waliitwa wakakataa, inakuwaje tena spika anasema wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa mpaka wahojiwe?

Kuna umuhimu gani wa kuwatumia barua za kutaka kuwahoji wakati inaonekana wazi kuwa tayari maamuzi yameshafanyika?

Kipande nilichokiwekea rangi nyekundu kinaonesha wazi, mambo hayajaisha na kuna mtego umewekwa. Unless mleta mada awe kachakachuwa maana anaonesha si mtu wa kuaminika.

Ni mtazamo objectively na si ushabiki:

Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni yoyote alipochangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Inawezekana hatua ya katibu mkuu wa CHADEMA,mh.Dr.Slaa, kuwataka wabunge hao wasikubali kuhojiwa ndio sababu?Mbona hakutaja sababu hiyo?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!
 
.
Hili bunge ni mufilisi kabisa na kwa sababu watanzania wa leo sii wale wa 47 tunaelewa hii ngoma inayochezwa na magamba. Sasa hivi inabidi tutangaze rasmi kuwa bunge ni adui wa raia NO 1 likifuatiwa na polisi.
Bunge llimajeuzwa rasmi kuwa kibaraka wa serikali tofauti na wajibu wake kikatiba kuisimamia serikali. Hivyo ukizingatia pia kuwa ni taasisi inayohudumiwa na pesa nyingi za walipa kodi kuliko nyingine, hatuwahitaji kwa sasa.
Napendekeza bunge livunjwe ili kuwezeshwa kuundwa kwa chombo kingine cha kuisimamia serikali.
.

Ni bora tusiwe na bunge kuliko kuwa na vibaraka wa serikali wanaojiita Wabunge wawakilishi wa wananchi! Haijitajiki PHD kuelewa kuwa spika na naibu wake wanawaburuza wapinzani hata kwa hoja za msingi zinzowagusa wananchi wengi moja kwa moja. Wabunge wote wa CCM wamejimbambanua pasi na shaka kuwa hawapo kwa maslahi ya wananchi, hivyo nakubaliana na pendekezo lako mkuu kuwa bunge hili livunjwe; ni adui mkubwa sana wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni!
 
Sasa wamewakuta vipi na hatia wakati wanakiri upande wawalalamikiwa haukusikilizwa?
"Wamewakuta na hatia, ila hatua zitachukuliwa mara baada ya kuwahoji" mbona najionea vikaragosi tu hapa vya kuvunja mbavu! Sasa..! Inakuwaje hapa? Maana ni mauza uza tu?

Ungemsikia ngwilizi ungemuelewa si unazi wa humu wa watu wanapindisha ukweli. Kungojwa wao kuulizwa na kamati ni kuwasikiliza tu utetezi wao lakini ukweli ni kwamba kila kitu kiko wazi, pale bungeni kuna live recordings za video na audio na wengi wa wanakamati ya Ngwilizi walikuwepo ukumbini. Si ya kuhadithiwa. Kila kitu kinagaubaga.
 
unatoa hukumu bila mtuhumiwa kupewa nafasi ya kujitetea ni upuuzi mtupu...!ndio maana tuna jaji ambae hana degree kwakua uzembe unaanzia kwanzia juu mpaka chini.Shame on B kiroboto na yule kilaza wa Kongwa..

Nakubandikia tena post #1 , mimi sijaiona hukumu, jee wewe umeiona?
quote_icon.png
By Salary Slip
Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani mh.Mnyika,Nassari na mh.Tundu Lissu.Ripoti hiyo pia inaonyesha waheshimiwa hao walikiuka kanuni na hivyo walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu.Ripoti hiyo imeonyesha kuwa kiti kilitenda haki na hata mh.Waziri wa maji hakukiuka kanuni yoyote alipochangia hoja ya mh.Mnyika kama alivyodai mh.Tundu Lissu.

Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika.

Swali,je ni kweli kamati ya mh.Ngwilizi ilishindwa kuwahoji au wanajua wangeumbuka?

Inawezekana hatua ya katibu mkuu wa CHADEMA,mh.Dr.Slaa, kuwataka wabunge hao wasikubali kuhojiwa ndio sababu?Mbona hakutaja sababu hiyo?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kuisoma ripoti hiyo bungeni huku ikiwa haijakamilika?

Tafakari!
 
Mambo mengine haibu tpu! Hawa wazee na mvi zao watoaje hukumu bila kuhoji watuhumiwa? Hizi kamati na tume viini macho tu! Shame on them!
 
Back
Top Bottom