LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,925
Ifike mahali wapiga kura muone ujinga mnaofanya. Mnachagua mwakilishi akawawakilishe yeye anakwenda kwa maslahi yake na chama chake. Hakuna hata siku moja Ngwilizi ametoa ripoti kwa maslahi ya Taifa yeye yuko kimagamba zaidi mliompeleka bungeni mnamwangalia tu. Au kawaloga?????? Simlaumu Ngwilizi nalaumu wapiga kura wake na wanao fanana na hao.