"Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

"Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

Huwezi toa report ya upande mmoja. Kabla report kuwekwa hadharani inakaiwa kila mtu au upande unahusika na kiachoandikiwa report uhusishwe kwenye maoni, maellezo na lolote lihusulo report hiyo. Kuandika bila kuhusisha wahusika wakuu ni kuweka hisia za waandishi kwenye report. Kifupi wameogopa reaction ya walio wengi juu ya suala hilo
 
Hata hivyo,mh.Spika amesema kuwa wahusika hawataweza kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu kwa sasa kwasababu kamati ya mh.Ngwilizi haikuwahoji wahusika kupata maelezo yao.Mh spika alidai kamati hiyo ilishindwa kuwahoji na hivyo mpaka watakapohojiwa ndio adhabu itatolewa kwa wahusika

Na hawatahojiwa na kamati yoyote, si ya ngwilizi tu, hata iwe kamati gani hawatakwenda kuhojiwa hadi pale rufaa zote kumi zilizokatwa dhidi ya kiti cha spika zitakapotolewa uamuzi tena hadharani kwenye kikao cha bunge.

Na wakijifanya vichwa ngumu wakawapa adhabu hapo ndipo watakuwa wamewapatia free ride ya kuishughulikia ccm, nadhani wamesahau kipondo walichokuwa wanakipata kutoka kwa lema.
 
Kamati yenyewe imeshindwa kutenda haki kwa ku"absolve" kiti cha spika wakati kila mtu aliyetazama TV aliona jinsi gani spika au naibu spika walivyovunja kanuni. Utaratibu huu wa 'to make the guilty innocent and the innocent guilty' utatuletea matatizo Tanzania.

Mwenyekiti wa hii Kamati anasema naibu spika 'alishauriwa vibaya' kukubaliana na mwongozo wa mnadhimu wa upinzani kuhusu muda wa waziri kuchangi hoja ya Mnyika; lakini mnadhimu alipaswa kutokosea, kwa sababu anapaswa kuzijua kanuni ili asipotoshe kiti!!!
 
Kwanini hawakuhoji? unamhukumu mtu kabla hujamskiliza?

Nani mwenye list ya hiyo kamati ya Ngwilizi?

WAJUMBE WA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE
1.Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi (Mwenyekiti-CCM)
2.Christopher Ole Sendeka(CCM)
3.Rashid Ali Abdallah(CUF)
4.Dk. Maua Daftari(CCM)
5.John Chiligati(CCM)
6.Dk. Christina Ishengoma(CCM);
7.Riziki Omar Juma(CUF)
8.David Kafulila(NCCR)
9.Vita Kawawa(CCM)
10.Philemon Ndesamburo(CHADEMA)
11.Augustino Masele(CCM)
12.Said Arfi(CHADEMA)
13.Augustine Mrema(TLP)
14.Cynthia Ngoye(CCM)
15.Halima
Mdee(CHADEMA)
16. Gosbert Blandes(CCM).
 
Magamba si waende wakafanye movie, maana kwa usanii wako vizuri mno.
 
WAJUMBE WA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE
1.Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi (Mwenyekiti-CCM)
2.Christopher Ole Sendeka(CCM)
3.Rashid Ali Abdallah(CUF)
4.Dk. Maua Daftari(CCM)
5.John Chiligati(CCM)
6.Dk. Christina Ishengoma(CCM);
7.Riziki Omar Juma(CUF)
8.David Kafulila(NCCR)
9.Vita Kawawa(CCM)
10.Philemon Ndesamburo(CHADEMA)
11.Augustino Masele(CCM)
12.Said Arfi(CHADEMA)
13.Augustine Mrema(TLP)
14.Cynthia Ngoye(CCM)
15.Halima
Mdee(CHADEMA)
16. Gosbert Blandes(CCM).

Mipaka ya nchi yetu haina usalama halafu mabrigedia generali mnawaweka bungeni.
 
tutawapokea jumapili watajisafisha lakini hawataweza
 
Vp wameto na hukumu ya mzee wa kulia mjengoni kwa kulidanganya Bunge. Waanze kuwahoji Mtoto wa mkulima kwanza. Kama kawaida yao kutafta vichaka, tutafyeka vyote tuone 2015 watajificha wapi.
 
Nafikiri haikua na haja yakutoa hy taarifa wkt watuhumiwa hawajahojiwa yn ni bora wangenyamaza tu
 
Kuna mambo ambayo nadhani yanatokea Tanzania tu.. Hayapatikani sehemu nyingine kokote duniani.. Serious..
 
Duh bibi kasoma alama za nyakati mapema kuwa hawa jamaa ni maji ya shingo bunge litavunjwa bure na rais kwa vurugu za kuwatetea mitaani kaamua liwalo na liwe jamaa tuwaache tu.
 
Mwenye kujua matumizi ya hiyo kamati Ngwilizi ni shilingi ngapi atuambie. Maana unaweza kukuta wametumi mamilioni ya fedha kutuletea huu upuuzi.. mwenye data aweke.
 
Wamestuka Mkutano wa Jpili Tmk utakuwa mwiba kwao...........Unajua Mshale ukikuchoma Kwenye makalio ili kuundoa inabidi kukata nyama ya ---- otherwise itakuwa balaaaaaaa
 
Nature of most of decisions in our country looks to be the same! So I gues they might be coming from a single person more likely fro Mr. Fastjet!
 
Ajabu! Unasoma riporti, unakiri hukuwahoji! sasa kwanini kamati iliundwa in the first place?
 
Back
Top Bottom