Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,574
Reaction score
56,782
Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena baadae.
 
Kawaida mkuu hiyo namba ya mshkaji wako ipo diverted kwa namba nyingine ambayo ni ya voda ndio maana umeona hivyo
 
Bado najiuliza ilikuwaje Alexander The Great alishindwaje ile vita wakati alikuwa amebakiza hatua chache sana awe mtawala wa dunia nzima?
 
Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena baadae.
Kweli ndege JOHN hujawahi kutana na hili suala katika matumizi yako yote ya simu?
Simple ni hv hy number imekuwa diverted kwenye namba ya voda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom